Pamoja na jitihada za polisi huko Morogoro , Mambo yako hivi

Hawa Jamaa walipanda kwenye malori hayo kwa hiari yao au kuna kitu wameahidiwa?? Nawaza tu Ndugu yangu Mtoa mada (Erythrocyte)
 
Hawa Jamaa walipanda kwenye malori hayo kwa hiari yao au kuna kitu wameahidiwa?? Nawaza tu Ndugu yangu Mtoa mada (Erythrocyte)
Wengi wanapewa sahani ya wali na maharage na fanta take away moja moja
FB_IMG_1560687082435.jpg
 
wamepewa na fanta take away mojamoja
:D :D alipata kuandika mshairi mmoja miaka ya 70, "... sukani sinikatikie, safari ingaliko mbele..." akanadi mshairi mwingine... "nyanyi ambiliwe muchu, asoishimu yiranyi!!!" Bado akaandika mwandikaji maarufu wa kusadikika na kufikirika achilia mbali adili na nduguze "UTU BUSARA, UJINGA HASARA"
Kama haitoshi maandiko yananena... " ... watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!" "Wanapokutana waharibifu hujisifia kwamba wao ndio wanatengeneza mambo ilhali wanaharibu na kufanya ufisadi..."
Na iko nyongeza "... mtu mjinga akikujia akakwambia neno la kijinga na wewe ukalikubali atakuona MPUMBAVU!!!"
Ndio maana TOKEA ISEMWE KUNA "MALOFA WAPUMBAVU" sasa tumefanikiwa kupata Maprofesa jalala WAPUMBAVU!!! HAYA INAWEZEKANA YAKAWA MAENDELEO MAKUBWA!!!
HIVI HAO WANAOPANDA MAFUSO WAKIPATA AJALI NANI ATAWAHUDUMIA? KWANINI HAWAWAZI YAO NA KUACHA KUTUMIKA PASI FAIDA?
 
Back
Top Bottom