View attachment 1128211
Ukikataliwa na wananchi hata ufanyeje hali haiwezi kubadilika , itabidi tu usombe watu mlandizi na kwingineko ili kujaza uwanja
Hawana tofauti na wale wanyama waliohamishiwa hifadhi mpya ya Chato
Kwanza alipe kodi kama sisi siyo tu anakula pesa yetu na kununua mavaziKabisa kamanda. Tumuunge mkono na tumpe shime Rais wetu mpendwa kutuletea maendeleo
Hakuna tofauti , halafu mbona malori yaliyobeba wanyama na yale yaliyosomba watu namba Zinafanana ?Burigi-Chato National Park.
View attachment 1128444
Polisi wamezuia mkutano wa Chadema usifanyike kwa hiyo mkutano haukufanyika!
halafu ikawaje ?Huyu mshereshaji wenu mwenye uzi, si aliwapumbaza wazembe wenzie kua mh mbowe atatingisha moro..
Hahaha..kuna muda mnaotaga vitu vyakufikirika kama malaika vile..
Alafu huu usafiri wa namna hii hatariView attachment 1128211
Ukikataliwa na wananchi hata ufanyeje hali haiwezi kubadilika , itabidi tu usombe watu mlandizi na kwingineko ili kujaza uwanja
Usafiri dizaini hiyo huniweki humo.kuna zile sijui mpira sijui Nini,hapana.yakipata ajali hapo yakavunjika yanatelekezwa.poorAlafu huu usafiri wa namna hii hatari
Ubungo , mlandizi na chalinzeUtakuta wametolewa mbali kweli!hapo nyumbani wameacha wake zao bila chochote duh!
Rais Mpendwa!!!!!!!!!!!!!!!!!?Kabisa kamanda. Tumuunge mkono na tumpe shime Rais wetu mpendwa kutuletea maendeleo
Pamoja Green guard kuvunja matofali kuonyesha ukakamavuNa wasanii wote wale!!!
No kweli yuko sahihi kuwa no Morogoro maana hizo gari nimepishana nazo zikiwa na hao watu wakipelekwa uwanja wa jamhuri.Thibitisha pasi na Shaka picha hiyo ni ya morogoro
Hata wanawake wamo humo, una lipi la kuwaambia?Utakuta wametolewa mbali kweli!hapo nyumbani wameacha wake zao bila chochote duh!
Nilidhani ng'ombe wanapelekwa mnadani...!!! Hivi mpaka leo kuna ma yutong bado kungalipo manamba wanaopandishwa malori kwa wali maharagwe!?View attachment 1128211
Ukikataliwa na wananchi hata ufanyeje hali haiwezi kubadilika , itabidi tu usombe watu mlandizi na kwingineko ili kujaza uwanja
wamepewa na fanta take away mojamojaNilidhani ng'ombe wanapelekwa mnadani...!!! Hivi mpaka leo kuna ma yutong bado kungalipo manamba wanaopandishwa malori kwa wali maharagwe!?
Kweli njaa na ujinga ni adui wa Taifa