Pamoja na Bodi kumpendekeza, Dk Rashid aweka sharti la kurudi TANESCO!

Nchi imeuzwa kwa wachache mwajiriwa ampa masharti mwajiri haijawahi tokea ila imepangwa ni mwaka wa EL na uchaguzi upo konani:drum:
 
Dr Rashid anafaa sana ila wanasiasa wasiingilie utendaji wake.

Kwani watanzania tunapenda sana kuchanganya siasa na mambo ya kitaalamu.

Hongera Doctor kaza buti
 
Dr Rashid anafaa sana ila wanasiasa wasiingilie utendaji wake.

Kwani watanzania tunapenda sana kuchanganya siasa na mambo ya kitaalamu.

Hongera Doctor kaza buti

Dr Rashid ni mwizi
1. Ameiba fedha za rada
2. Ameifisadi Tanesco kwa njia mbalimbali kama ukarabati wa nyumba etc.
 
Dr Rashid ni mwizi
1. Ameiba fedha za rada
2. Ameifisadi Tanesco kwa njia mbalimbali kama ukarabati wa nyumba etc.

Unapoteza muda wako kumuelimisha mtu anayitwa 'Hafifu'. Huyu atatetea chochote chenye jina la 'kiarabu'. Ni mtumwa huyu.
 
Nchi inanuka ufisadi na rushwa! Tena za waziwazi. Sasa kipindi cha uchanguzi kimewadia na mashirika/taasisi muhimu yanayochangia CCM ni pamoja na TANESCO, CRDB, BOT nk. sasa tunategemea nini? wakati Kagoda haiwezi tumika trena?
 
It's PETER NGUMBULU and NOT PETER NGUMBULI!Hivi mnapoandika mhakiki details ndogo ndogo kama hizi.Waandishi muwe makini!
 
Sio Dk Rashid tu, ina maana hii nchi hamna wa kutuongoza zaidi ya Kikwete.Ukweli sisi watanzania ndio tuna matatizo
 
Back
Top Bottom