Pambano la leo

Pambano la leo

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Kura yako nan una mpa……??
 

Attachments

  • 1430551304203.jpg
    1430551304203.jpg
    22.6 KB · Views: 362
Yaani Floyd hataaamini kitakachotokea kutoka kwa huyu Mfilipino!
 
tuwekeeni saa maalumu maana mnatuchanganya na saa za kwetu jamani.
 
aliyekwambia huo uchaguzi ni nani mpaka tupige kura ?
 
aliyekwambia huo uchaguzi ni nani mpaka tupige kura ?

Uchaguz unahisi kwenye siasa tu ,hata kusema hiki ni bora kingine ni kuchagua pia
 
Back
Top Bottom