Pambana na makeup zako

Jamaa anakuaga na mambo ya ufala. kuna siku alishafatilia mwanamke mpaka gongola mboto kutoka kawe kisa wamepanda daladala moja yeye badala ya kushuka morocco apande la masaki ili aingie sinza kanyoosha mpaka gomz alafu dem mwenyewe kawaida sannna
Dala dala fall on you
 
hahahaaa, huyo jamaa nahisi mkasa wa fumanizi juzi kati, utampa fundisho, kama hakuitoa m3, nadhani sasa hivi atatulia
hehe saivi story imekua kubwa sana maana dem wake ambae tulikua tunangoja Harusi december amezipata habari sasa balaa ni kwamba jamaa anasema ametoa hela. Mke inamuuma kwa nini anachezea hela kizembe?
 
dah, sasa stori zilimfikiaje tena mchumba wake?
 
Ha ha haaaa... Salute kwako kiongozi.
Ila mimi hata soda wasingeonja!! Halafu siku hizi imesha kuwa style yacwanawake wa mjini, wanaweka puti usini utadhani wamekuwa magari yaliyoharibiwa na kutu.
 
Ha ha haaaa... Salute kwako kiongozi.
Ila mimi hata soda wasingeonja!! Halafu siku hizi imesha kuwa style yacwanawake wa mjini, wanaweka puti usini utadhani wamekuwa magari yaliyoharibiwa na kutu.

Yaani mtu ankua kama poor duplicate of adobe photoshop
 
Story ya Ku copy na kupaste... Hii niliiona Kenya talk

Kunguru ni Kunguru tu: Tuesday Experience.
 
Back
Top Bottom