Palizi la bustani

Palizi la bustani

raha ya bustani iwe safi babu inahusu kuchomana na vimajani? kwanza vinaumizad

Hujakutana na iliyosafishwa kwa ustadi wewe

Utatamani usiuchomoe mguu ili uendelee kuchomwa chomwa ....lol!!!!!!!!!!
 
mmhhh... babake hivyo vijani under ceteris paribus, huwa vinakera sometimes!

sijui niko kwenye mada mie?

kama vipi nitoke..

We si umezoea kuingia bustanini usiku wa manane?

Hujui huwa inakuwaje wewe!!
 
sasa hapo ndo kutamu !! unachoma ndani huku unamulikwa na taa nyekundu! mwanga kwa mbaaaaaali!

babake mambo swaaaafiii!

Kuhu ukikaribishwa na michomochomo kidogo kwa mbaaali

Kudadadeki ni balaaaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
We si unajua mmasai siku zote anatembea na rungu ama sime sasa naanzaje kuogopa nyoka!!!!

Huogopi hata huyu?

images
 
Kuhu ukikaribishwa na michomochomo kidogo kwa mbaaali

Kudadadeki ni balaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

qudadekiiii!! halafu hapo una nyimbo laiiiini za akina celine dione na waimbaji wengineo wa slow jam!!!!!

hivi kutakucha kweli????????
 
Back
Top Bottom