Palizi la bustani

Palizi la bustani

raha ya bustani iwe safi babu inahusu kuchomana na vimajani? kwanza vinaumizad
 
Uwii mnanivunja mbambu..jaman kwa wale watunza mazingira.unakuta anapori nenee ,kias kwamb mpaka utumie tochi na kupuliza kwa mdomo kutafuta andak lilipo.

Wewe ndio umenivunja mbavu .....lol!!!!!!!!!!!!
 
Kweli kiswahili kinaweza kuwa lugha yako, lakini inawezekana pia usikielewe, endapo utakutana na mwandishi kama mkuu aliyeleta hoja

Lakini si umeelewa?
 
bustani maua bwana!na maua si majani bwana,bustan gani isiyo na maua japo kidogo!majani kidogo yanayotunzwa vizuri, unapitisha japo leki kuondoa yaliyochakaa!

Lakini yasitoke yote
Au siyo?
 
mmhhh... babake hivyo vijani under ceteris paribus, huwa vinakera sometimes!

sijui niko kwenye mada mie?

kama vipi nitoke..
 
Back
Top Bottom