Palizi la bustani

Palizi la bustani

Mada inahusu nn? kwanini picha hamna?

images
 
Yote kwangu sawa..mkuu sion tofaut kila mtu na kipenda roho chake.....mmlik wa bustan maamuz yake kukata au kuacha ...kwa ni wewe unahitaj bustan au Tunda.

.

Ubora wa bustani hufanya tunda liwe safi!!
 
Bustani bila majani umeona wapi....

Shurti yawepo japo level ya kapeti LA sufu

Ila kikiwa kipilipi ni kizungumkuti... Unaweza kuta vifungu vitatu kama mbigiri

Mkuu umenifanya nicheke sana!!
 
Bustani inategemea na majani yaliyopo. Kuna yale magumu kama magugu maji na kuna yale malaini utadhani ya bandia. haya magumu ni heri yakatwe kabisa ila dalali kuwa hapa kuwa panaota majani ibaki au ipunguzwe kiasi kwamba mkanyagaji asisikie maumivu yeyote.

Mi napenda yale malaini, maji kidogo tu yamelala utadhani yanakufa bila kunyauka. Haya yanaraha jamani. hata mkanyagaji haumii kwasababu ni mepesi mnooooo. haya vyovyote iwavyo ni mazuri tu.

Mchango wangu katika katiba hii ya bustani ni huo tu naomba niendeleee kusinzia......
 
Kwani aina za bustani si zipo hadi za angani kama wale jamaa walioendaga kubembea Cuba? (ukiniuliza ni akina nani sitajibu walahi tena)

Napenda bustani safi inayopaliliwa na kunyeshewa vizuri kama hii hapa ubalozi wa Marekani Mkuu..... kwa KE inapaswa kuzidi mara laki nane.
Hata vifaa vingine hakuna??
 
Sasa hayo malaini yanakuwa na afya kweli?

Au hayo ni yale ya kule Virginia?
 
Kwani aina za bustani si zipo hadi za angani kama wale jamaa walioendaga kubembea Cuba? (ukiniuliza ni akina nani sitajibu walahi tena)

Napenda bustani safi inayopaliliwa na kunyeshewa vizuri kama hii hapa ubalozi wa Marekani Mkuu..... kwa KE inapaswa kuzidi mara laki nane.

Kiwango cha palizi kiweje?
 
Kweli kiswahili kinaweza kuwa lugha yako, lakini inawezekana pia usikielewe, endapo utakutana na mwandishi kama mkuu aliyeleta hoja
 
bustani maua bwana!na maua si majani bwana,bustan gani isiyo na maua japo kidogo!majani kidogo yanayotunzwa vizuri, unapitisha japo leki kuondoa yaliyochakaa!
 
Back
Top Bottom