Palizi la bustani

Palizi la bustani

si kweli... chumvi ni usafi na sio garden

Ulimi unaanza kutamani the taste of salt. Jamani niacheni nichangie bunge la katiba. Mnataja uvinza hadi mate yangu yanadondokea mic. Mi mndojole (mlafi) wa hiyo kitu
 
hahahaaa!! kwa hio.. teheheeee!! miss chagga nae yuko plain? kipara kama cha ze big show?

actually ni nzuri manake wale wazee wa chumvi wanfaidika na uchimbaji bila vikwazo!

mimi nilijua bustani ya maua....majani mengi siyo issue sana joto na siyo mazuri loh
 
mimi vinaniumiza kweli sijui ardhi yangu laini yaani majani sitaki kabisa bustani iwe nyeupe ndio nafauduuu!!

Walahi nakuambia haviumizi

Hivyo vilivyokuumiza huenda vilikua na matatizo!!
 
baba paroko samahani; elimu hii uliipata kwenye maandishi au ulienda field?
 
Back
Top Bottom