Palizi la bustani

Palizi la bustani

Sasa mkuu bustani ikikatwa si itakua hakuna bustani bali ni uwanja tu!
Bustani ipunguzwe tu na kumwagiwa maji mara kwa mara!
...
Nyumba bila bustani haipendezi asee!

Kweli nyumba bila bustani haipendezi, wengine tunapagawa bustani ikiwa na nyasi ndefu ila laini na mji uwe msafi hapo dah!
 
Baba Paroko umekuja kikulima kweli, ebhana mi napenda bustani iliyosafishwa vizuri sio ile ya pwapwapwa huyo! imwagiliziwe maji na kuwekewa samadi vema, hapo mwenyewe tu utasogea kufuata nyuki ili ung'atwe ooh sorry ulambe asali.
 
Baba Paroko umekuja kikulima kweli, ebhana mi napenda bustani iliyosafishwa vizuri sio ile ya pwapwapwa huyo! imwagiliziwe maji na kuwekewa samadi vema, hapo mwenyewe tu utasogea kufuata nyuki ili ung'atwe ooh sorry ulambe asali.

Bustani yako ikoje muda huu Tai?
 
Nyasi fupi zinapendeza zaidi bcz! Uwanja ukiwa MCTU wakati wakutema madini! Nyasi zikiwa ndefu mambo mengine yanabakia pale NJE yaani inakuwa km domo lililokula Pilau la Harusini bila kunawa! Namna ile inakapunguza mzuka kiaina Niliwahi kuwa na Mwadamu 1 yy alikuwa ananyoa PUNK waz utam sana jamen!
 
Wajameni habarini za mchana?

Najua muko poa na kama kawa wale waliohadiana kutoana lunch wamefanya hivyo na wale wa kuchomeshwa mahindi nao wameyachoma sanaaaa hadi yameungua

Msijali hata na kesho nayo ni siku na huyo mrembo ataibuka tu

Mchana huu kweupe nataka tuambizane hapa kuwa ni palizi gani zuri kwaajili ya bustani

Kuna wengine wanadai kuwa bustani inahitajika iwe haina majani kabisa na wengine wanadai kuwa ni vyema vimajani vikakatwa na kubakia kama vinaota vile ili wakato wa kurutubisha bustani vikiwa kama vinakuchoma hivi vinaongeza nakshi na burudani

Najua kila mmoja ana maoni yake lakini kwa upande wa baba paroko anashauri bustani isikatwe kwani kwenye urutubisho vile vijamajani vinavyokuwa vinakuwa vimebakia vinapokuchoma wakati wa urutubishaji vinaongeza hamu ya ulimaji na pia munkari ....lol!!!!!!!

Hebu ninong'oneze wewe unapendelea bustani ipi iliyokatwa kabisa na kubaki kama vile haijaota kabisa nyasi au uko upande wangu?

Hebu wakati huu ukishushia na juicy lunch yako sio vibaya ukatuambia maoni yako .

Bustani ikisheheni sana nakua ngumu kulamba
 
Back
Top Bottom