Palestinian Mothers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Palestinian Mothers

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mahmood, Jan 4, 2010.

 1. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  I want to tell the world That

  The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.

  [​IMG]



  [​IMG]




  I want to tell the world


  [​IMG]



  ********************************


  I want to tell the world

  A story










  About a home With a broken lantern



  [​IMG]




  [​IMG]


  And a burnt doll



  [​IMG]




  About a picnic That wasn't enjoyed



  [​IMG]





  [​IMG]



  [​IMG]




  About an axe That killed a tulip



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]




  [​IMG]



  A story about a fire That consumed a plait



  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]



  [​IMG]


  a story about a tear that couldn't run down

  [​IMG]




  I want to tell a story About a goat That wasn't milked



  [​IMG]




  About a mother's dough That wasn't baked



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]



  [​IMG]



  About a wedding That wasn't celebrated



  [​IMG]





  [​IMG]


  And a baby girl that didn't grow up

  [​IMG]




  [​IMG]





  [​IMG]


  About a football That wasn't kicked



  [​IMG]




  About a dove That didn't fly



  [​IMG]




  I want to tell a story About a key That wasn't used





  [​IMG]





  [​IMG]


  About a classroom That wasn't attended



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]



  About a playground That was silenced



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]




  About a besieged lonely farm

  And about its fruits That weren't picked





  About a lie that wasn't discovered



  [​IMG]

  [​IMG]

  Jews teach their Children to kill the Palestinians

  [​IMG]



  A story about a Palestine church That's no longer prayed in



  [​IMG]



  And a palestine mosque That no longer stands



  [​IMG]




  And a culture No longer rejoiced



  [​IMG]




  [​IMG]



  [​IMG]




  [​IMG]






  [​IMG]


  I want to tell a story About a muddy grassy roof


  [​IMG]





  [​IMG]

  About a stone That faced a tank



  [​IMG]




  And about a stubborn flag That refuses to lie down





  [​IMG]





  [​IMG]

  [​IMG]

  About a spirit that cannot be defeated



  [​IMG]




  I want to tell the world A story




  [​IMG]



  Now Light a little candle for Palestine



  [​IMG]







  You can do it





  Light a candle One little candle

  Watch the darkness fade away



  Just try it out



  One ray of light


  Wipes away the gloomiest

  Jet-black nights

  As the dawn breaks




  Just observe



  Can you see that

  All the might of darkness

  In the world
  Cannot extinguish
  The faintest flicker

  Of a beam of light




  Light a candle


  One little candle


  Watch the darkness fade away




  You can do it








  Hey.. WORLD

  Did you hear me?

  The Israelis are killing Us! and they have occupied our land by force.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Weka na za upande wa pili ili tuwe rational wakati wa ku'digest!
   
 3. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  This is so called Terrorist!! The day will come sooner rather than later!! I am just praying to be alive when Palestenians conquer their land back in the hands of Israel!!

  The day will come!! For sure just wait and you will see!!:(
   
 4. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Upande wa pili (Israel) ni mkoloni,

  Hayo uluyo yaona kwenye picha ndio yanayo tokea katika Ardhi ya Palestine, Palestine imetawaliwa na mayahudi na US kwa mabavu.

  wapalestine wana dini mbili , wengine ni waislamu na wengine ni wakristo,

  Wapalestine wote, wakristo na Waislamu wanaongea lugha moja ya kiarabu.

  wapalestine waislamu na wapelestine Wakristo wote wametawaliwa na Mayahudi na US.
   
 5. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Me too.
   
 6. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu waisrael wafahamu Muumba ni JUST kila blood watalipa iko siku...nawachukia mpaka watakapoacha mauaji

  Huyo anayeomba upande wa pili ni colonilized mind just ignore, amekuwa na roho ngumu na mbaya kupita mnyama, yeye na wengine hawana huruma kwa watoto wala wanawake kwakuwa mabwana zao wamesema, wanatumikia matumbo yao... Haki itashinda by any means necessary
   
 7. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Madhalimu lazima Mwenyezi Mungu atawahukumu.. No other way...
   
 8. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tumaini na Mahmoud ,naona mnahusudu waarabu kuliko ngozi yetu!sasa hivi tunaangalia disaster ya weusi wenzetu huko Haiti!mmsije mkatulipua bongo kwa sababu ya imani zenu za kiarabu.
  Israel is stronger than ever!Naona wewe kama mtanzania jali mambo ya tanzania kuliko waarabu.mbona hujaonyesha picha za watu wa Darfur?Tina usije umejilipua nchi za magharibi wanakupa mafao,bado unawadharau.nenda somalia kwa al shaabab
   
 9. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kuiondoa nafsi ya mwingine hakuna namna yeyote ya fidia na kila mtu mwenye utu haridhii mauaji kwa namna yeyote. Wapelestina wameuawa lakini sorce ni nini? HAMASI NA VIKUNDI I VYOTE VYENYE MSIMAMO MKALIl THEY ARE RESPONSIBLE!!
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Si waisraeli na Us tu. hata Hamas, hizbolla, al aqsa brigade hata mimi na wewe pia. "....Whoever shed blood by sword, by sword his blood shall be shed"

  Please wekeni hata picha za palestinian suicide bombers who killed israel civilian so as to have a just rational comments!!!
   
 11. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shame on America, shame on Israei, You kill children and women!!!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Sayuuuni, sayuuuuuni, nina imani kwamba nitafika, Kila nisikiapo israel, roho yangu inaenda mbio, natamani nifike bethlehemu, nioge maji ya mto yordani, nifike sehemu zote zilizoandikwa kwenye bibilia, Yeriko, Samaria, yerusalem, IN JESUS NAME WE PRAY, AMEN
   
 13. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Gambler,Tumaini,Mahmoud naona nyie ni arab propanganists!hii fight ni kati ya jews na arabs.kama wewe mtanzania inakuhusu nini?

  nimewachallenge kuhusu Darfur ,kwa weusi wenzetu mbona mnakwepa?mbona hakuna mtu hasemi kuhusu POLISARIO na western sahara people ambao ni waislam wenzetu wanavyosuffer kwenye kambi za ukimbizi ?

  Msiji mkatulipua!
   
 14. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmakonde usiongee utumbo, wewe serikali yako imeshindwa kuwasaidia wahanga wa mafuriko, Gadafi ni mwarabu ndiye anayewajengea nyumba mpya, na ametoa mabilioni ya fedha kuwasaidia, Kwani Gadafi, Waswahili wanamhusu nini?......kuwa na utu, acha hizo kaka, usiwe na roho chafu, Mungu wetu ni justice
   
 15. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ah,You know Gadafi motives!huyu mtu alimsaidia Idd Amin !Ni dictator tangu 1969!Anajifanya mwafrika,na sio.amesign mkataba na fascist italians kuhusu kuzuia watu kwenda ulaya kutokea libya.

  anataka influence ya kiislamu.kama nchi yetu ingekuwa proper hatungehitaji msaada hata mmoja toka kwa hawa waarabu.EPA,twin tower,meremeta,dowans hela hizi zote zingesaidia huko.ghadafi ni propaganda.

  kuleta mambo ya palestine hapa ni uislamu wa kipumbavu.i am glad Jews wamesimama kidete.siku ya taifa hili likianguka,tumekwisha hata sisi.nigeomba uaupload suicide bombing au picha za dar na nairobi bombing kama una muda.good kenya wanaanza kuamka kuhusu al shabaab.Bongo bado tumelala
   
 16. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unajua baada ya kumaliza kuangalia hizi picha sikudhani kama there will be someone so INSENSITIVE like you. Your so selfish and heartless. Kwa hiyo watu ambao sio weusi wakipatwa na shida basi tusiwajali maana wao si binadamu? Do you know it feels to have a child and the first thing you teach him when he starts understanding things is how to hide behind cars everytime he is on the street? Why? because there are gun shots everywhere!! That it reaches a point where as a parent you can no longer protect your child who trusted in you for his safety? That you can see a guy with no mercy in his heart pointing a gun at your son and there is NOTHING you can do about it?



  That you can see your baby girl dying right in front of your eyes and there is nothing you can do to stop it?

  You came back home expecting to find your family is locked safe inside and this is what you find?

  Can somebody tell me honestly, who are the last children on the pictures below going to be if they succeed to grow up? Engineers, Doctors, Pharmacist, Politician etc? Which professional will they be so much looking forward to? Please dont joke about this...

   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Bwana Mahia,hizi picha zinatumika kwenye website mbalimbali za Jihadists ,kuanzia al shabaab,al qaeda and all terrorist organisation.Ni picha mbaya,kama mtu wa kawaida utakuwa na huruma na haya.lakini ukumbuke wanaopost hizi picha ni sio kama watanzania wa kawaida,wana agenda nyingine.naona JAMII FOrums imeingiliwa na watu wanaotaka kurecruit kwa jihad ,maana mtandao ndio unaotumika .i feel hapa JF ni kwa tanzania ,sio waarabu na uislamu wakisaudi.
  nigependa mtu huyu aweke picha za suicide bombing za wataliban huko pakistan na afghanistan!tuone kama atafanya hivyo.

  kama Tumaini,Mahmoud wametumwa kuweka agenda ya uislam hapa JF,wamenoa.
  hapa watu waerevu!
   
 18. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mmakonde, ninakubaliana na wewe kuwa hizi picha ziko kwenye mitandao mingi ila hiyo haisababishi tukazizoea tu kwa sababu tumeziona sehemu nyingi. Sio vizuri kuzoea ukatili na wakati tunajua ukweli kuwa Waisrael ni wabaya sana. Picha hizi zinatupa idea ya kile kinachotokea pia afghanistan, pakistan n.k. Kitendo nilichopinga ni cha wewe kusema waarabu hawatuhusu wakati wanauliwa na Taifa ambalo zamani Mungu aliliita taifa teule.
   
 19. u

  under_age JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2010
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  USA na ISRAEL wanaposema magaidi wanauwa wanawake na watoto wasiokuwa na hatia sijui wanamaanisha nini? ,sasa hawa kwenye picha sio wanawake na watoto? ,au mwanamke na mtoto ni wazungu tu? kwanini na wao hawa waisrael wasiitwe magaidi?, akh! hii dunia imejaa double standard acha tuishi tu!
   
 20. B

  Bull JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  We mtu waajabu sana!
  kinachoangaliwa hapa ni ubinadamu sio ubaguzi, picha kama hizi hazionyeshwi BBC, CNN wala Fox. walaaniwe wauwaji wote regardless, lakini sio kutetea unyama kwa sababu kafanya mtu mweupe against mwarabu.

  Kama mataifa makubwa yanayodai yameendela wanauwa watu namana hii lazima yalaaniwe afterall wamekalia nchi ya watu na kupinga azimiao la UN linalowataka waondoke

  Mtu yoyote akivamiwa laziama ata-retaliate ndivyo wanvyo fanya Hamasa na freedomfighters wengine.
   
Loading...