Palestinian Mothers

Palestinian Mothers

We mtu waajabu sana!
kinachoangaliwa hapa ni ubinadamu sio ubaguzi, picha kama hizi hazionyeshwi BBC, CNN wala Fox. walaaniwe wauwaji wote regardless, lakini sio kutetea unyama kwa sababu kafanya mtu mweupe against mwarabu.

Kama mataifa makubwa yanayodai yameendela wanauwa watu namana hii lazima yalaaniwe afterall wamekalia nchi ya watu na kupinga azimiao la UN linalowataka waondoke

Mtu yoyote akivamiwa laziama ata-retaliate ndivyo wanvyo fanya Hamasa na freedomfighters wengine.

You are correct,

Iko siku wapalestine watapata uhuru wao, tuwaombee tu.

Watu wengi hawajui kuwa kuna asalimia kubwa sana ya wapalestine ni wakristo! wao pia wametawaliwa na Israel
 
BS as usual. We kama waarabu wanakugusa sana kwanini usiende kwenye uwanja wa mapambano huko ukafe shahidi wa Mwamedi.
 
HIYO NDIO SHIDA YA DINI YA KIARABU, MIMI NASHANGAA KWA NINI WATU WA SUDAN YA KUSINI WANAULIWA NA WAARABU NA WAISLAMU WOTE DUNIANI WANAONA NI SAWA, AKIGUSWA MPALESTINA WATU HAWALALI
HAKUNA TOFAUTI YA MPALESTINA NA MNUBI, kama mpalestina kavamiwa na Mwislael basi hata Mnubi kavamiwa na Mwarabu, kama hiyo nchi ilikuwa ya wapalestina hata historia inatuambia Sudan haikuwa ya Mwarabu (hebu mkuu tutafsilie nini maana ya neno Sudan kutoka kiarabu)
haceni unafiki na ujinga
 
Sudan ipo huru, haikutawaliwa na warabu,

wasudani wanaongea tu lugha ya kiarabu lakini si warabu,

Wasudani ni weusi kama sisi, Wasudani ni waafrika kama sisi lakini lugha tu wanao ongea ni kiarabu.

Kama vile Angola wanaongea kireno lakini waangola si wareno, waangola ni waafrika kama sisi!
 
Naona IJUMAA leo ,watu wamesali na jasba kuwapanda!
Leo suicide bomber ameua watu 17 huko Afghnistan,lakini hakuna hata mtu mmoja mwislamu amecondemn hii.Gahdafi amtoa fatwa kwa Waswis!Come on!

Mahmoud nafikiri ungeangalia Weusi Wenzako wanavyosota huko Darfur ,na the late Colonel John Garanga alivyofight Islamists wa North Sudan.
Kituko na Abdulhalim,you are right,kuna hypocricy kubwa kwa hawa wenzetu .

Mahmoud,Igunga na Tumaini nendeni mkajiunge na Waarabu kufight Mjew.
Bila ya Mungu kuwapa uwezo hawa Mayahudi,sijui tungekuwa wapi.
Ukiniambia nichague kati ya Mjew na Mwarabu,nitakwenda kwa Mjew mara elfu.

Kama wewe Mtanzania unamshabikia Mtaleban ,au mamullah wa Iran,basi akili yako sio nzuri
 
Pole sana,

Namwomba Mungu akuongoze, Amin.
 
Jamani humu kumbe kuna Al ghaeda, Hamasi, Hesbola, n.k. wanaotamani wawamalize Waisrael kama wangeweza. Bahati mbaya Mungu kawanyima uwezo huo, wataota hata mchana, ila waisrael tutasonga mbele kumtukuza Mungu wetu anayetuinua.
 
Back
Top Bottom