BADO HAWATUOMBA MSAMAHA NA MEMBE NDIYO KWANZA ANJIPENDEKEZA KWA WAARABU. Sijui taifa letu linatafuta nini kwa mataifa ya kiarabu mpaka kuja leo kumsaidia mpalestina kiasi hicho.Hivi waliwahi kutuomba radhi kwa kumsaidia Idd Amin atupige vita ya Kagera?
Ni kwa sababu taifa la Tanzania limegeuka kuwa la kinafiki kuliko kawaida. Wakati waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe huko Yemen, sirya, iraq, afghanistan nk, hutasikia bongo inasema chochote. Nchi imegeuka kuwa ya ki-freemason, asilimia kubwa ya wabongo ni washirikina, wachawi na wezi lkn haohao wana uwezo wa kuvaa unafiki na kupigania dini zao kwa nguvu zote!! Mtazamo wa watanzania juu ya mgogoro wa mashariki ya kati umegawanyika sana, huo msimamo wa serikali hauwakilishi watanzania wote.
I am not among them who support Palestines. Please take note on that. My stand till death is support towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand.
BADO HAWATUOMBA MSAMAHA NA MEMBE NDIYO KWANZA ANJIPENDEKEZA KWA WAARABU. Sijui taifa letu linatafuta nini kwa mataifa ya kiarabu mpaka kuja leo kumsaidia mpalestina kiasi hicho.
Kumbuka mwaka 1976 Tanzania ililaani sana kitendo cha Israeli kuokoa mateka wake pale Entebe. Tena matusi yaliyoyotolewa na balozi wetu hapo UN, yalikuwa yanatisha sana. Yaani kwa upande mwinginewe, Tanznaia ilitaka wale mateka wa kiisraeli wauwawe pale entebe. HIi yote ni kujikomba kwa mataifa ya kiarabu.
Halafu kama hiyo haitoshi, tanzania ikaweka palestinian Day. Sherehe hii ilikuwa inazunguka mikoani kila mwaka na mikoa yenye wakristo wengi tuu ili wakiuke ukweli wa biblia unavyotaka kuhusu haki ya Israeli. Hii yote ilikuwa kujikomba na kujionesha katika vikao vya NOn alignment movement(ambako yamejaa mataifa mengi ya kiarabu)kuwa sisi ni the best anti wentern na antisemitism wakutupwa.
Sasa hivi unemployment katika west benk palestina ni 5% Gaza ni 35%. Kwa maana hiyo wapelestina wapo vizuri kimaisha kulkiko wakzi wa mtwara, Lindi, Ruvumana katavi. Ila Tanzania unemployment ni 65% yaani tupo mahala pabaya sana kimaisha na mikoa mingi haina hata day worker. Sasa badala ya kuweka urafiki na Israel ili watu shushie viwanda na kufanya investment za nguvu kama walivyofanya Kenya, sisi hatutaki na kila kukicha ni kuwatukana wa Israel kwa niaba ya waarabu.
Hii kama siyo laaana ni kitu gani? Yaani kuwa na viongozi wasiojali maslahi ya raia zake, ila kila kukicha kudai maslahi ya wapalestina! sasa angalia msimamo wa Tanzania kuwasupport wapalestina huko UN wiki iliyopita, kuna mslahi gani ki uchumi? mimi sioni lolote lile mbali ya kuonekama komba komba-boys!
Israel ni living clock yetu waamini kwamba muda wetu wa kukaa hapa unakaribia kufikia mwisho and soon we will be caught to meet our King in the outer space..Wenye dhambi kazaneni kutenda dhambi na wenye kujitakasa jitakaseni sana....Maana Israel maanandiko yanasema itapingwa na dunia nzima lakini yenyewe itakataa ku-bow...Ikifikia hapo mataifa yataamua kuipiga Israel kivita nayo itatekwa mpaka robo tatu yake ndipo wana wa Israel watamkumbuka Mungu wao watamrudia kwakulia na kuomboleza naye Mungu wao atashuka kuja kupigana vita ndipo mifereji ya damu itatoka kutoka Israel na wengi wa walioivamia Israel wataiona hasira ya Mungu.
BADO HAWATUOMBA MSAMAHA NA MEMBE NDIYO KWANZA ANJIPENDEKEZA KWA WAARABU. Sijui taifa letu linatafuta nini kwa mataifa ya kiarabu mpaka kuja leo kumsaidia mpalestina kiasi hicho.
Kumbuka mwaka 1976 Tanzania ililaani sana kitendo cha Israeli kuokoa mateka wake pale Entebe. Tena matusi yaliyoyotolewa na balozi wetu hapo UN, yalikuwa yanatisha sana. Yaani kwa upande mwinginewe, Tanznaia ilitaka wale mateka wa kiisraeli wauwawe pale entebe. HIi yote ni kujikomba kwa mataifa ya kiarabu.
Halafu kama hiyo haitoshi, tanzania ikaweka palestinian Day. Sherehe hii ilikuwa inazunguka mikoani kila mwaka na mikoa yenye wakristo wengi tuu ili wakiuke ukweli wa biblia unavyotaka kuhusu haki ya Israeli. Hii yote ilikuwa kujikomba na kujionesha katika vikao vya NOn alignment movement(ambako yamejaa mataifa mengi ya kiarabu)kuwa sisi ni the best anti wentern na antisemitism wakutupwa.
Sasa hivi unemployment katika west benk palestina ni 5% Gaza ni 35%. Kwa maana hiyo wapelestina wapo vizuri kimaisha kulkiko wakzi wa mtwara, Lindi, Ruvumana katavi. Ila Tanzania unemployment ni 65% yaani tupo mahala pabaya sana kimaisha na mikoa mingi haina hata day worker. Sasa badala ya kuweka urafiki na Israel ili watu shushie viwanda na kufanya investment za nguvu kama walivyofanya Kenya, sisi hatutaki na kila kukicha ni kuwatukana wa Israel kwa niaba ya waarabu.
Hii kama siyo laaana ni kitu gani? Yaani kuwa na viongozi wasiojali maslahi ya raia zake, ila kila kukicha kudai maslahi ya wapalestina! sasa angalia msimamo wa Tanzania kuwasupport wapalestina huko UN wiki iliyopita, kuna mslahi gani ki uchumi? mimi sioni lolote lile mbali ya kuonekama komba komba-boys!
.
Uko sawa mkuu. Haya ni maamuzi ya Membe na inafaa huo uamuzi uitwe kura ya Membe na sii kura ya Tanzania.
.
Zanzibar imewashinda sasa mnasapoti Wapalestina ambao hata kwenye Koran Tukufu hawakutajwa, Makubwa haya.
There is Israel state not Zionist.What about Zionist State?
Kwa kuwa sisi mara zote tunapinga unyanyasaji , tuko upande wa mnyonge, tuko pamoja na anayeonewa....kumbuka historia yetu kama taifa tangu kabla ya uhuru na baada ya uhuru hutauliza hilo swali tena kama wewe ni mtz.
I am not among them who support Palestines. Please take note on that. My stand till death is support towards holy land Israel, and Jerusalem holy city. Let the history record my stand.
.
Uko sawa mkuu. Haya ni maamuzi ya Membe na inafaa huo uamuzi uitwe kura ya Membe na sii kura ya Tanzania.
.
kweli kuongea au kuandika kiingereza sio kuwa na elimuHistory shows that they existed no state refered as Palestina.
Did you also support the Boers during apartheid? This kind of positon is why I tell people "mungu ni kikwazo".
I must assume that you are young in your 30s, having born after most liberation struggles were won.
Your love for god, and Christianity in particular, has blinded you from seeing the Zionist oppression of the Palestinians.
For you, putting a wall around a group of people and make them living in prison is OK as long as your god said Jerusalem is for one group of people only.
In fact, you also demonstrate a lack of understanding in the relation between Jews and Christians. You are caught up in the romantic story of the bible that god favours a group of people and place them in Israel. What is it for you in Africa then??
Occupation is wrong. Whether it is done by man or in the name of a "god". It is just wrong!
kweli kuongea au kuandika kiingereza sio kuwa na elimuHistory shows that they existed no state refered as Palestina.
Mbona husemi Waarabu ambao wali support kuondelewa kwa Gadafi! hakika kila kitu utasema Western; kulikuwa kuna umuhimu wa Western, Arabs nations kuingilia baada ya kuona Libya inaelekea kubaya, same na Syria hali ni tete bila haya mataifa makubwa kuweka mkono watauana kama kuku wao kwa wao na chemical weapons nk. Membe na TZ ni unafiki mtupu, huku wanasema hatu support opposition by NTC baadaye tuna support...mara as long African Union...nyoosha mambo; kesho mtanyimwa hela za msaada kwa kukataa ushoga! then baadaye mtakubali kunusuru taifa la misaada. Unaposimamia ukweli uwe na vigezo, siyo kupiga kura bora hata kususia kama UK kuliko kuwa ndiyo ..kesho hapanaMembe ni kichwa kwa sababu hasemi kitu ili kuwafurahisha mabwana zako western. amekuwa mstari wambele kupinga uonevu kule libya, palestina na hata kuhusu mpaka na malawi. i admire him and wish he is right next co
kweli kuongea au kuandika kiingereza sio kuwa na elimu
hivi kati ya palestina na israeli ni taifa gani ambalo halikuwahi kutokea ktk historia ya dunia?
kwa kila mtu alie soma japo degree moja atakubaliana na mm hata wayahudi wenyewe kuwa hawakuwa na eneo la kuishi (ardhi) ndio maana wayahudi wana msemo unaosema people of no land ( jewish) to the land of no people (palestina).
ni hivi karibuni tu baada ya mkataba wa bulfor ndio israeli iliundwa. nyuma ya hapo wayahudi walikuwa wametapakaa kote duniani ndio maana mpaka leo bado wana hama watokapo kuelekea israeli.
taifa la israeli linazungumziwa kwenye bibilia lakini haikuwahi kutokea utawala wa kizeyuni ulio na serikali moja na lugha moja hapa duniani. wayahudi wliunganishwa na imani yao ya dini tu. taifa hilo la israeli lilianza kuongelewa ktk karne ya 18 na baadhi ya wana falsafa kama vile Mordecai Menahem *Kaplan (1881–1983). ktk kile kilicho fahamika kama RECONSTRUCTIONISM.
ili nisikumalizie uhondo jaribu kusoma historia ya palestina na israeli na usome pia hiyo reconstructionism utaelewa vizuri. kama hujui pakupata notice tembelea google andika historia ya palestina na israeli
ndio maana mataifa tisa tu duniani walikuwa upande wa israeli na marekani lakini mataifa zaidi ya 100 yalikuwa upande wa palestina hata bibilia inaitambua palestina na miji yake kama vile Gaza ambayo sasa hivi inakubwa na mapigano (kujua zaidi soma kumbukumbu la torati)