Not only Tanzania,even USA supports Palestine! Havent you heard that USA has blamed Israel for starting building 3000 setlements in Gaza recently!. Dont play with international politics!. Sometimes what you see is not what you get!
Kwahiyo, hiyo ardhi ni ya Israel. Then wakasarambatishwa na kuibiwa ardhi yao na Arabs, then Israel wakarudi kwao kuwatoa wezi wa ardhi yao. Sasa, kwanini mnawatetea wezi na majambazi walio iba ardhi ya Israel?
Na hawa ndio akina nani? THE REAL NATIVES?
How can you say you are the owner kwa kitu ulicho iba? Wewe mwizi akikuibia kitu na kukaa nacho kwa miaka kadhaa, je, kuna any justification ya kukumfanya mwizi kuwa owner wa kitu alicho kiiba?
Bado hakuwafanyi pale kwao kwasababu umekiri kuwa waliiba pale mahali kutoka kwa Israel. Mwizi hata kama akikaa na kitu alicho iba kwa miaka elfu moja, bado hakumfanyi yeye kuwa ndio owner wa kitu alicho iba. Anabakia kuwa Mwizi.
Ni kweli, Native ardhi ni yao na wezi lazima waondoke na kuheshi sheria.
Lakini bado haisaidii kitu. Huyo anaye dai kuonea kumbe kaiba. Mwizi huwa haoniwi bali anapewa haki yake anapo kamatwa.
It is religious since huyo Muislam kesha sema anaonewa na umemwita Muislam, hukusema Mwarabu au Mpalestina ua Mpashia. Je, unaweza kuzungumzia Muislam na kumwita hivyo bila ya kuwa dini?
palestina identify themselves as arabs but they are probably of mixed CAANANITE,PHILISTINE ,And peninsula arabs anctestry.
IBRAHIMU ndo alikua baba wa wayahudi aka waebrania na waarabu.
Ibrahim alikua akiishi UR..sehemu ambayo leo inaitwa irag.
Ibrahim alihama Ur Akahamia NCHI YA CAANAN.huko aliwakuta wenyeji wa caanan na akaishi nao miaka na miaka.
Kulitokea nje,baadi ya uzao wake ambao baadae walikuja kujulikana kama wayahudi walikimbilia egypt.
Walipotoka huko ndo wakaja nchi ya caanani wakaua na kuteketeza waliowakuta na kujitwalia ardhi wakidai wamepewa na munguwao.
Kwahiyo wenyeji wamwanzo hapo ni WaCAANAN.ambao asilia yao humo wametoka wapalestina,na walebanon.
WAHAMITE ni wajordan ndoo maana hadi leo jordan inajulikana pia kama HAMITE KINGDOM.
John 2:15 says, Do not
love the world nor the things in the world. If anyone
loves the world, the love of the Father is not in
him.
If you were of the world, the world would love its own; but because you are not of the world, but I chose you out of the world, because of this the
world hates you. John 15:19
"I have given them Your word; and the world has hated them, because they are not of the world,
even as I am not of the world. John 17:14
"For God did not send the Son into the world to judge the world, but that the world might be saved through him. He who believes in him is not judged; he who does not believe has been judged already, because he has not believed in the name of the only begotten Son of God. This is the judgment, that the Light has come into the world, and men loved the darkness rather than
the Light, for their deeds were evil. (John 3:17-19)
And He says
"My Kingdom is not an earthly kingdom. If it were, my followers would fight to keep me from being handed over to the Jewish leaders. But my Kingdom is not of this world."
Mifano yote inakuonesha kuwa Jesus has never been interested in physical and Perishable stuff (ardhi,vitu vya dunia hii, uongozi wa dunia hii or utukufu wa dunia hii) He doesnt need to come to fight physically anyone in this world kwaajili ya kurestore the Glory ya Israel hata christians.
Nasema tena i am so so certain.
Nakuomba tuendelee kumuomba Yesu atujaze Roho wake Mtakatifu atufunilie na kutu enlighten kuweza kuyaelewa vizuri mafindisho yake na hizo habari za siku ya Mwisho
.
Mkuu umempiga mtu nje ya ulingo bila hata kuchafua shati lako jeupe. Labda atajipanga vizuri zaidi next time au ajisalimishe katika kweli. Pamoja mkuu and thanks!!
.
ile nchi ilikua ni ya wacaanan na babu yao hao wayahudi alihamia tu hapo caanan akitokea ur,mesopotamia.baada ya kufika hapo hakupora ardhi ya aliowakuta aliishi miongoni mwao kwa amani.
Lile kundi la wahuni wa kiyahudi lilotoka misri ndo lilikuja na kuanza kupora na kunyang'anya ardhi ya raia hapo .wakija na mkwara kwamba ni nchi waliyoahidiwa.
SASA INAKUAJE HAPA ALIEPORWA ARDHI NDO AITWE MWIZI?.
Isitoshe wapalestina hakuna history inayoonyesha kwamba walihamia hapo.WAO WAPO HAPO TANGUA MWANZO.
Hao jews ndo asili yao ni Ur.wakahamia hapo caanan today palestina.baadhi wakaenda misri wakazaliana huko wakarudi caanan wakapora ardhi.baadhi wakaenda Europe ,wakazaliana .hicho kizazi tena chenye damu ya mchanganyiko na wazungu ndo wakarudi tena palestina wakaua na kupora tena ardhi.
Hawa jamaa noma aisee.
.Kwani wewe unaelewa vipi kuhusu kufufuka?
Kwani Yesu alivyokufa msalabani baada ya pale what happened to his body and spirit exactly?
ile nchi ilikua ni ya wacaanan na babu yao hao wayahudi alihamia tu hapo caanan akitokea ur,mesopotamia.baada ya kufika hapo hakupora ardhi ya aliowakuta aliishi miongoni mwao kwa amani.
Lile kundi la wahuni wa kiyahudi lilotoka misri ndo lilikuja na kuanza kupora na kunyang'anya ardhi ya raia hapo .wakija na mkwara kwamba ni nchi waliyoahidiwa.
SASA INAKUAJE HAPA ALIEPORWA ARDHI NDO AITWE MWIZI?.
Isitoshe wapalestina hakuna history inayoonyesha kwamba walihamia hapo.WAO WAPO HAPO TANGUA MWANZO.
Hao jews ndo asili yao ni Ur.wakahamia hapo caanan today palestina.baadhi wakaenda misri wakazaliana huko wakarudi caanan wakapora ardhi.baadhi wakaenda Europe ,wakazaliana .hicho kizazi tena chenye damu ya mchanganyiko na wazungu ndo wakarudi tena palestina wakaua na kupora tena ardhi.
Hawa jamaa noma aisee.
.
Kwani mipaka ya nchi tuliyo nayo nani kaiweka? Na tumekuwa nayo kwa mda gani ukijaribu kulinganisha na mipaka ya Israel iliyowekwa na Musa?
.
palestina identify themselves as arabs but they are probably of mixed CAANANITE,PHILISTINE ,And peninsula arabs anctestry.
IBRAHIMU ndo alikua baba wa wayahudi aka waebrania na waarabu.
Ibrahim alikua akiishi UR..sehemu ambayo leo inaitwa irag.
Ibrahim alihama Ur Akahamia NCHI YA CAANAN.huko aliwakuta wenyeji wa caanan na akaishi nao miaka na miaka.
Kulitokea nje,baadi ya uzao wake ambao baadae walikuja kujulikana kama wayahudi walikimbilia egypt.
Walipotoka huko ndo wakaja nchi ya caanani wakaua na kuteketeza waliowakuta na kujitwalia ardhi wakidai wamepewa na munguwao.
Kwahiyo wenyeji wamwanzo hapo ni WaCAANAN.ambao asilia yao humo wametoka wapalestina,na walebanon.
WAHAMITE ni wajordan ndoo maana hadi leo jordan inajulikana pia kama HAMITE KINGDOM.
ile nchi ilikua ni ya wacaanan na babu yao hao wayahudi alihamia tu hapo caanan akitokea ur,mesopotamia.baada ya kufika hapo hakupora ardhi ya aliowakuta aliishi miongoni mwao kwa amani.
Lile kundi la wahuni wa kiyahudi lilotoka misri ndo lilikuja na kuanza kupora na kunyang'anya ardhi ya raia hapo .wakija na mkwara kwamba ni nchi waliyoahidiwa.
SASA INAKUAJE HAPA ALIEPORWA ARDHI NDO AITWE MWIZI?.
Isitoshe wapalestina hakuna history inayoonyesha kwamba walihamia hapo.WAO WAPO HAPO TANGUA MWANZO.
Hao jews ndo asili yao ni Ur.wakahamia hapo caanan today palestina.baadhi wakaenda misri wakazaliana huko wakarudi caanan wakapora ardhi.baadhi wakaenda Europe ,wakazaliana .hicho kizazi tena chenye damu ya mchanganyiko na wazungu ndo wakarudi tena palestina wakaua na kupora tena ardhi.
Hawa jamaa noma aisee.
1. Hilo kundi lilitokea Misri likiongozwa na Moses na baadae Aaron, kabla ya kwenda Misri ambako walimfuata Joseph lilikuwa linaishi wapi?
2.Hakuna mkwara wowote walio fanza zaidi ya kufuata amri ya Allah wa Kolani kuwa warudi kwao. Biblia na inAsema hivyo hivyo. Historia nayo inakubaliana na Biblia na Koran ya Allah na Mtume Muhammad.
3. Aliye porwa ardhi ni Muisrael ambaye alikuwa Misri akipiga boksi. Muhuni ndie kaingia nyumbani kwa Muisrael aliyekuwa Misri akipiga boksi. Sasa huyu Muhuni ambaye hata Koran imegoma kumtaja kwake ni wapi?
4. Unapodai kuwa Wapalestina walikuwa hapohapo unamaanisha nini, wakati hapajawai kuwa na Taifa au Falme linaloitwa Palestina?
5. Kweli walio nouma ni hao Palestina ambao kamwe hawajawai kuwa na Taifa. Kawaulize PLO kwanini walifukuzwa Jordan na Misri?
Wa israel walikuwapo hapo israel but the real nguvu ilikuwa diaspora. Jews from west ndo wakaanza kukusanyana warudi huko kwao ndo kukawa na vuguvugu la zionist state.
Nakubali bila kupinga kwamba waisrael Hebrews to be exact, ndo palikuea kwao. Romans walivyokuja wakafungua njia za trading from Alexandria all thr way to Jerusalem na maeneo ya pembeni poeple traded waarabu moved in and out of Israel na baada ya Romans. The caliphas Walivyo uchukua mji wa Jerusalem waislam waki Arab kwa wingi sana walikuja kukaa hapo. Hata Ottaman empire iliwaacha refugees wengi hapo mchanganyiko wa hawa wote ambao were displaced from watu wao wakakaa hapo israel wakazaliana na kuoana. All that time Jews were minorities.
Jews waliokuwepo hapo with the backing from diaspora wakaanza movement na mpango chini kwa chini kabla hata British mandate hawajaondoka. Tena british mandate ilikuwa kama ndo inawa support because Auxilliary soldiers were Jews.
Haiwezi kuwa mgogoro wa kidini kwasababu they are not fighting over holy land au over a place of worship. Wanagombania ardhi na kutaka kuestablish permanent residence and ownership of the place.
Soma vizuri maandishi yangu nimesema Large population of Palestines ni Muslims and Arabs. Sasa watu wapembeni Iran,jordan,syria et al wanauingila moja ya sababu kuu because wanaona waarabu na waislam wenzao wanaonewa. Na tayari wanajenga chuki na Jews na kuwabrand Muslims persecutors.
Kutokana kuwa one of the high profile conflit na wa mda mrefu in our time. Kila mtu anauona kwa njia yake na mostly wakiuona kama conflict kati ya Muslims and Jews over the Holy Land. But the core and root ya this conflict sio dini wala udini.
Jaribu kutafakari ahadi ya kufufuliwa; kwanini kufufuliwa ikiwa ya kwamba tulipaswa kuishi kama roho?
.
.
Roho yake ilipoungana na mwili wake baada ya kutoka kuzimu aliendelea kuwatokea wanafunzi wake kwa mda wa siku arobaini. Na misosi yetu tunayokula aliendelea kuila ili kuwathibitishia kuwa yeye sii mzimu bali mwili. Hiyo ndio miili tutakayokuwa nao katika ufufuo.
.
Tunapo sema ni mgogoro wa kidini si lazima wapiganie ardhi au sehemu ya kuombea kama unavyo fikiria. Mfano: Waislamu wa Tanganyika wanapo taka Mahakama ya Kadhi je hayo si madai ya Kidini? Hivyo basi, wanapo taka kuwa na sehemu ya kuishi, ni lazima waombe kwa mwenye ardhi na mwenye ardhi akubali. Mwenye ardhi ana haki ya kuwapa na kukataa yote ni majibu na itabidi yakubaliwe na mwombaji. Lakini jamaa hawa wa Hamas wao hawajui kuomba bali wanacho fahamu ni kutupa makombora huku wakisema kuwa Mungu ni Mkubwa. Sasa ni kivipi wanamuusisha Mungu katika kutupa makomba na hili jambo lisiwe la kidini?....
Ni kweli inafahamika kuwa asilimia kubwa ya Walowezi wa Kipalestina ni Waarabu na dini yao ni Islamu. Ndio maana jumuia yote ya Islam inawasaidia kwasababu mgomvi wao ni Israel na si zaidi ya hapo.
Swali kwako, kwanini jumuia yote ya Islam inaichukia Israel? Ukiweza kutoa jibu bila hiana, basi tutaelewa kuwa, ugomvi wa Palestina na Israel ni wakidini zaidi kuliko kudai mahali pa kuishi......
Ukisoma katika post zangu nimeshajibu hili swali ukitaka kujua kwanini Nchi nyingi za kiislam wanawasupport Palestina na kuwachukia israel lazima kwanza uwaelewe waislam na mafundisho yao.. Yanasemaje kuhusu Uislam na kuonewa au kuteswa kwa waislam au muislam.
"The Koran tells Muslims that they are God's greatest gift to the world,"
When one person or group transgresses their limits and violates the rights of others, Muslims have the right
and the duty to "check" them and bring them back into line. There are several verses of the Qur'an that describe jihad in this manner. One example: "And did not Allah check one set of people by means of another, the earth would indeed be full of mischief;
but Allah is full of Bounty to all the worlds"
-Qur'an 2:251 Islam never tolerates unprovoked aggression from its own side; Muslims are commanded in the Qur'an not to begin hostilities, embark on any act of aggression, violate the rights of others, or harm the innocent.
Even hurting or destroying animals or trees is forbidden. War is waged only to defend the religious community against oppression and persecution, because the Qur'an says that "persecution is worse than slaughter" and "let there
be no hostility except to those who practice oppression" (Qur'an 2:190-193).
Therefore, if non-Muslims are peaceful or indifferent to Islam, there is no justified reason to declare war on them.
The Qur'an describes those people who are permitted to fight: "They are those who have been expelled from their homes in defiance of right, for no cause except that they say, 'Our Lord is Allah.'
Did not Allah check one set of people by means of another, there would surely have been pulled down monasteries, churches, synagogues, and mosques, in which the name of God is commemorated
in abundant measure..." -Qur'an 22:40
Ndo mana Muslim wanaunga mkono wapalestina.
Labda tuanze kuangalia mwanzo wa Jina Palestina ndipo tutaelewa nani alikuwa wapi na wakati gani.
Jina "Palestina" lilianzishwa rasmi katika kipindi cha 138AD, miaka mitatu baada ya ukandamizaji wa Rumi kwa Bar Kochba. Lakini ifahamike kuwa, kabla ya hapo kulikuwa na Falme ya Israel ambayo ilikuwa na Wafalme mbali mbali ikiwa pamoja na Daudi, Solomoni, Hezekhia, na wengine wengi.
Bado hujanieleza, unamaanisha nini uliposema kuwa "Waisrael walikuwepo hapo"? Utakapo tueleza kiundani walikuwepo hapo tokea lini, basi utakuwa umeuelezea ummah wote kuwa mwenye haki na hiyo ardhi ni "Israel ilio kuwepo hapo".
I am happy to hear that sasa unakubali bila kupinga kwamba Waisrael Hebrews to exact, ndo walikuea kwao. Lakini bado hutuelezi ni wapi hawa Palestina walitokea na mwanzo wa jina la Palestina, ili kupunguza maswali tata.
Ili kupunguza utata, ningependekeza tuzungumzie kuhusu hii ardhi kabla ya Kuzaliwa Yesu (BC), ni nani alikuwa mwenye haki na hiyo ardhi, na hiyo haki alipewa na nani.
Watakabahu
hakuna cha ku negotiate hapo,. wapewe mipaka yao wapelestina tu, wamarekani ni wanafiki,wao wamewapinga wapelestina ombi lao kwa vile wao na waisrail ni tumbo moja.USA is against the building of settlements because it may affect the peace negotiation efforts between the two states.
But USA has never supported the the so called Palestinian struggles for sovereignty. Remember last year USA veto
against recognition of the state of Palestine by the UN?...USA knows what Israel means when it comes to blessings and
human prosperity. N the US prosperity is centered in the support for Israel physically and spiritually.
Personally I will never support the Palestinians in expense of Israel. My body and spirit is with Israel because Testaments and
promises of God to me as a christian are tied with Israel. As THE GREAT CAMP said and so do I, "let the history record my stand".
Tukimdifine kwamza Mungu ni nani tutaweza kujua ufalme wake ukoje? Na je "it is at hand" maana yake nini.na pia he said the Kingodom of God is at hand (Mark 1:15)..what does this mean to you?
Then Jesus said '...From the days of John the Baptist until now, the kingdom of heaven has been forcefully advancing, and forceful men lay hold of it (Mathew 11:12). Wake up we are already in the Kingdom and we still keep on wining souls violently....
It was not Palestinian land. That's Arab fable.
1) There had been 2 previous Jewish states, but never an Arab state or Palestine State
2) The land was owned by the Turks from 1516 to 1918
3) They and absentee Arabs sold land to Jews starting in the late 1800s, who started to return in serious numbers
4) Most of the Arabs came AFTER the Jews returned in the late 1800s, for the jobs they created
5) When the Ottoman empire fell, 93.5% of the land went to Arabs, of which Palestinians got about 25% (including Jordan)
It was not Palestinian land. That's Arab fable.
1) There had been 2 previous Jewish states, but never an Arab state or Palestine State
2) The land was owned by the Turks from 1516 to 1918
3) They and absentee Arabs sold land to Jews starting in the? late 1800s, who started to return in serious numbers
4) Most of the Arabs came AFTER the Jews returned in the late 1800s, for the jobs they? created
5) When the Ottoman empire fell, 93.5% of the land went to Arabs, of which Palestinians got about 25% (including Jordan)
.
Kwani mipaka ya nchi tuliyo nayo nani kaiweka? Na tumekuwa nayo kwa mda gani ukijaribu kulinganisha na mipaka ya Israel iliyowekwa na Musa?
.
mipaka yetu iliwekwa na wakoloni kwenye mkutano wa belrin miaka ya 1800.
Hao wakoloni licha ya kuweka mipaka walitawala na wakaondoka wakituachia nchi zetu.
Sasa huyo msa akajiwekea mipaka kwenye ardhi sio yake.yaani mtu kaoteshwa sijui na mizimu yake anaanza kujigawia ardhi.
Kwahiyo hao wenye ardhi walitegemea wageenda wapi.
Au huyo mungu wa israel alitoa fidia hao jamaa wakalipwa?NAJUA HAKUTOA FIDIA ALIAMURU WAUAWE WOTE.
Bahati tu hawakumaliza na ndo hao wapalestina.
Inaonyesha huyo YAHWEA(MUNGU WAO)alikua katili sana.kama maghufuli akivunjia watu nyumba huwalipa haki zao.lakini huyu mungu wa waisrael hakuona hata umuhimu wa kuwafidia hao jamaa.VERY DISGUSTING.

Kwahiyo waarabu wa palestina (au wapalestina) ndo Descendants wa wakanani?
Swali hili niko curious tu
Kwakuwa waafrika hatukushirikishwa kwenye Berlin coference, je mipaka iliyowekwa ina gani?
Nadhani Kulishawahi kuwa na mjadala huu zamani kama sikosei Mwanakijiji alikuwa ameanzisha sinakumbuku vizuri