nimekuwa nikifanya interview na wazungu mara nyingi nakutana na extra-ordinary circumstances. mathalani juzi nimeitwa interview moja ya senior position, nikajikoki na tai na takataka zote kufika pale nafanyiwa interview na 'watoto' na wamevaa visinglendi, vijinsi na ndala na hata mkuu wa kaya pia nae kapiga kising, pia nasubiri interview ya mwisho, nimebaki na maswali mengi kuliko majibu. kuna jamaa alishanisimulia pia alifanyiwa interview na wazungu ubolozi fulani pia nae scenario ilikua kama hiyohiyo, jamaa yaani wako completely outside the topic tena yeye walimuuliza mambo ya mtaani tu mbali na kazi yenyewe na taaluma. hizi interview za wazungu bana?