PALE UNAPOJIHAMI USIITWE DUME SURUALI

PALE UNAPOJIHAMI USIITWE DUME SURUALI

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
15241360_10154529469211001_260558681219756367_n.jpg
 
Hapo alikuwa Scotland amma...kama sikosei hawa jamaa skate ndo vazi lao la asili haijalishi mwanamke wala mwanaume.
 
Safi Sana napenda Hilo vazi la hawa jamaa kwao ni kama pwani na kikoi
 
Kwa wascotish hiyo ni kama unavyoona mmasai amevaa lubega, ni traditional wear.
Lakini sio njema kwa mwanaume kuvaa hivyo,hasa wa kibongo
Hapo Benard Paul alizingua kwa maana unatengeneza maswali mengi kwa fans wako kuliko majibu.
Labda kwa kuwa mie umri umenipiga hatua,manake enzi zetu tunaimba NUTA JAZZ hatukuwa tukivaa hivyo 😀😀😀
 
Back
Top Bottom