Pale unapogundua mpenzi wako ana Chimborazo kipya

Shhhhh, usiongee kwa nguvu atasikia huyo mzinzi Asprin, lakini Sky Eclat kwa nini umekubali kuwa na mtu kama yeye? Yule jamaa ni malaya sana hapa mjini kila mtaa ana demu na isitoshe analala hata na huyo house girl wenu pya mumu. Unakumbuka yule house girl wako (Shunie) uliyemfukuza mwaka jana na ujauzito. Sasa basi, ule ujauzito ni wa mumeo.
Usijali... wakati nampa Shunie huo ujauzito ni Sky Eclat mwenyewe alikuwa ananishikia miguu.

Mapenzi yetu ni ya kugandana
 
Mkuu pm huwa situmii pambana na hali yako bye
Let’s be serious! Usikasirike maana kiafrika ni haki ya mwanaume kuomba K kwa mwenye nayo ndo maana hata vichaa au Walemavu utawakuta na mimba! Lakini ni jukumu la mwanamke kuchuja maombi na kuhakikisha anatoa K kwa minimum persons asiitwe MALAYA. Hivyo hata ungalikuwa ukweli kuwa nilikufuata PM si lazima unikubali. Kiukweli sijawahi kumtumia PM hapa JF na ndo maana imefungwa naogopa kuvunja sharti la anonymity! Kuna watu kama Mama Sabrina wa nyani ngabu, au mahondaw wa smart huwa nawachokoza na wananichukia hakuna mfano! Wewe huwa nakuchokoza ingawa si rahisi kukujua ingawa ni tangaline
 
Sawa mkuu nimekuelewa usijali uwe na amani

Kumbe unafanya makusudically eehhhhh!! haya bana

Cc Smart911
 
Bahati mbaya katerero hajui na mie ndiye mwanzilishi wake! Waliokuonjesha ni wanafunzi wangu.

Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!! nachoweza sema tu ni kuwa mchawi si lazima aroge mkuu... .. Smart911 unamjua unamsikia!!!!!!!! ebu niache bana sitaki kusema mengi mimi kwa kifupi tu smart sio level yako hata kiduchu humkuti.....YANI HUMKUTI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom