Pale unapogundua mpenzi wako ana Chimborazo kipya

Wanawake mlifundishwa kutumia uanawake kutubakisha kwenye mikono yenu.

msilale.... jitahidi kitandani... mloweke kwenye karai... tia maji iliki na tangawizi.
Hahahaha, atie viungo vyote hivo kwani kawa mchuzi?
 
Asprin haniachi wewe kuna mjukuu ninamsikiliza hapa

Shhhhh, usiongee kwa nguvu atasikia huyo mzinzi Asprin, lakini Sky Eclat kwa nini umekubali kuwa na mtu kama yeye? Yule jamaa ni malaya sana hapa mjini kila mtaa ana demu na isitoshe analala hata na huyo house girl wenu pya mumu. Unakumbuka yule house girl wako (Shunie) uliyemfukuza mwaka jana na ujauzito. Sasa basi, ule ujauzito ni wa mumeo.
 
Eeenh nimekuwa house gal tena khaa

Uwiiiii house gelo jomoniii
 
Kila shetani na mbuyu wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom