24 Megapixel
Senior Member
- Mar 2, 2019
- 149
- 328
Duh! mirna92 harafu umekuwa wa kwanza kabisa kukoment [emoji44][emoji44][emoji44]Hahahaaaa..
Hakuna swali gumu na baya kama kuulizwa "wewe nani, namba yangu umepata wapi?"
Kitu kizuri ni kupewa namba na mhusika mwenyewe