2k Genius
Member
- Feb 27, 2011
- 88
- 9
Ticha mmoja alikuwa anapigisha pindi skul flan hivi,akiwa katikat ya kipindi tumbo likamshika ghafla akajamba ushuz,kwa aibu ya kutoa ushuz mbele za madenti akasepa clas.
Baada ya mwez hivi kupita,akaingia tena katika lile darasa
MWALIMU;ndio wanafunzi,tuliishia wapi??
MWANAFUNZI;tuliishia pale pale ulipojamba
Baada ya mwez hivi kupita,akaingia tena katika lile darasa
MWALIMU;ndio wanafunzi,tuliishia wapi??
MWANAFUNZI;tuliishia pale pale ulipojamba