Pale ukiwa huna hela..

Pale ukiwa huna hela..

princemikazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Posts
2,195
Reaction score
2,063
Ukiwa huna bangaloo/hela hata wadudu wanakudharau style kaa hii chaliangu..



@ChaliiYaKijengeJuu.
FB_IMG_15584316596211119.jpeg
 
Kuna demu mmoja niliwahi kuwa nae ukitaka akupe hata figo yake mtishie mjusi anaogopa kiasi cha kuweza kuzimia.

Yaani akiona mjusi chumbani ndiyo halali tena humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom