pale raia wanapogoma kutoa hela ya KIWI

pale raia wanapogoma kutoa hela ya KIWI

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
9,428
Reaction score
27,138
1476197552182.jpg
 
mkuu sio kwamba wamechoka tu na kazi nzito wanayo fanya?

au wanasubiri magari yapite coz hapo panaonekana magari hayapitipiti mfurulizo
 
hata vimodo vipo, pita morogoro road
Hivi kwanini matrafic asilimia kubwa unakuta ni mavipande ya mama
hata vimodo vipo, pita morogoro road, kuna kidada kimoja huwa kinakuwepo maeneo ya mbezi pale kiportabo kweli.... Hongera jeshi la police
 
hata vimodo vipo, pita morogoro road

hata vimodo vipo, pita morogoro road, kuna kidada kimoja huwa kinakuwepo maeneo ya mbezi pale kiportabo kweli.... Hongera jeshi la police
Asee kile kidada kinachokuwepo pale mbezi kizuri kweli yaani kinanitoa udenda kila siku. Halafu nadhani ni nshomile kile! !
 
hata vimodo vipo, pita morogoro road

hata vimodo vipo, pita morogoro road, kuna kidada kimoja huwa kinakuwepo maeneo ya mbezi pale kiportabo kweli.... Hongera jeshi la police
Kipe muda......miezi sita tu uje utupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom