Vyuraa wanaruka ruka vyuraaaa
Kama kawaida makolo sherehe ndogo mbwembwe kibao
Vyuraa wanaruka ruka vyuraaaa
Vyura wanaruka ruka vyuraaaKama kawaida makolo sherehe ndogo mbwembwe kibao
aiseeNonsense
Hongeraa kuanzisha thread
Mbwiga tunazungumzia msimu mpyaAnayerudi mikono mitupu bila vikombe ndiye anayetaabika. Mpira ni Kubeba vikombe. Zingine ni mbwembwe(kelele) tu.
Mahafari ni kitu gani wewe uto?Simba day kama mahafari tu
Kama umeelewa inatosha sana.Mahafari ni kitu gani wewe uto?
Una ugomvi na L * R?
Kwahiyo wenye akili wanatokea wapi?Bongo bwana,, Yaani mlima tumbaku kutoka kaliua ndani ndani anaonekana think tank Hata Kwa wenye AKILI duh
Tunaanza msimu mpya wakati vikombe vyote vipo wapi?Mbwiga tunazungumzia msimu mpya
HahaHii imeenda
Mpira saa ngapi wakuu? Naona wenye simba wenyewe hawataki kusema
Kabisa kabisaHii imeenda