Kwa lipi, kwa kuzuia shisha au kugawa miguu ya walemavu? Bado mchanga sana,
Na VIP ikitokea akawa Rais wako?Mawazo yako ila Membe mtoe kabisa,hatokaa ajitokeze tena,,yanayomkuta Manji kwake ni salamu tosha!!
Hussein Mwinyi?!! Kwa crdebility zipi?? Uzanzibar? Huyo hata Ubunge hasitahili,jina la Baba yake na le hulka ya kuwa watoto wa vigogo lazima wawe wabunge then mawaziri ndio vinambeba!! Kwangu Kingwendu ni bora kuliko huyo mtu!!
We wasemaHaitakuja kutokea rais akatokea tena Zanzibar huko watabaki kutoa makamu tu
History so nzuri kwa mawaziri wakuu,MKUU, MGOMBEA URAIS WA CCM MWAKA 2025 NI
KASSIMU MAJALIWA.
History so nzuri kwa mawaziri wakuu,
Msuya,
Malechela
Sumaye
Lowassa,
Hivyo majaliwa sahau
Halafu tunatengeneza azimio la Zanzibar namba 2 na kufuta yote aliyofanya Maghufuli maana yanawabana sana viongozi1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320
MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI
Subiri 2020.Kwa lipi, kwa kuzuia shisha au kugawa miguu ya walemavu? Bado mchanga sana,
Kwahiyo majaliwa awe rais alafu jpm WAZIRi Mkuu? Kwa katiba ipi?Huwezi kufahamu huenda CCM wakatumia mtindo kama ule wa Vladimir Putin na Dmitry Medvedev ambao wamebadilishana kama mara mbili hivi.
Yaani 2025 Majaliwa Kassim atapitishwa kuwa raisi na baadae akamteua JPM kuwa waziri mkuu.
Kwahiyo unasema lowassa hafai tena?Come 2025, most of these people will long be dead and gone! Miaka 8 ni mingi. Nothing can be speculated at this time... Keep on waiting to see!
Mwache agombee kuifurahisha nafsi yake!Kwahiyo unasema lowassa hafai tena?
Kwahiyo makamba hatakuwa RaisSioni cha makamba wala ni nini! makamba huwa anaishi kwa kujipendekeza sema kwa ngosha imegoma kwani yupo bashite kaganda kama lulu!
Hehehe hehe dahMwache agombee kuifurahisha nafsi yake!
Mbona wa sasa hana vyote hivyo.lakini mmempa ofisiJanuary makamba bado sana, ntakwambia, hebu waangalie hao wawili
1. Hekima
2. Kashfa
3. Weledi
4. Access ya ikulu
5. Maono
Naona Mwinyi anafaa sana
Kwahiyo lowassa atarudishiwa chenj? Maana makubaliano angombee mara 2Hahah ndoto nzuri lakini kuna ukweli fulani kwa wagombea wote
Mwinyi hajawahi kuchukua fomu....huyu kuna uwezekano akaenda znz 2020
Wengine wata gombea ila jina la mfukoni lazima wawemi 2 wa kanda ya ziwa.
Na ccm ujuwe baada ya uchaguzi wao wa ndani unaokuja kuna bonge la mgawanyiko linatokea.
Wajumbe wa NEC wanapunguzwa kwa 50%
Wale wa CC wanapunguzwa by 25%
Hivyo ujue mwenyekiti ataweka watu wake watupu CC
Na NEC kina Membe na Nape watakatwa
Kina bashe , msukuma watanyimwa ubunge
Bashite ataingia 3 bora, mkuu hajali kama anatakiwa au vipi Atalazimisha
Ukawa itaimarika sana baada hali ya uchumi kama mwelekeo haukubadilika hali itakuwa mbaya sana , kazi zitapotea na hakuna biashara zitazidi kufungwa
Watakao katwa wataingia upinzani na ukawa
Lowasa 2025 ni Mzee wa kimasai hatagombea
Ila ccm kufika 2020 itakua kazi sana maana vijana wengi mhhh jobless , ajira hata ya kujiakiri hamna zaidi ya umachinga
Kilimo hakuna mikopo
Viwanda ni mtihani
2020 Tanzania ndio itashuhudia kukua upinzani kwa nguvu...kila alosoma namba atakitoa
Ccm itabaki na wa vijijini wasio tambua hata kama nyerere amekufa
Yaani CCM itakuwa hoi