Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Samweli Mathayo, Aug 16, 2017.

 1. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,

  WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI

  Hawatakuwa wengi mno
  1. Hamisi kigwangala
  2. Nape nnauye
  3. Mwigulu Nchemba
  4. Hussein Mwinyi
  5. January makamba
  6. Samia suluhu
  7. Tulia ackson
  8. Makongoro Nyerere
  9. Emanuel Nchimbi
  10.Suleiman jaffo
  11.Diodorus Kamala
  12. Sospeter muhongo
  13. Steve masato wassira,
  14. Bernard membe
  15. Harrison mwakyembe
  16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
  17. Mathias Chikawe,
  18. Hussein Bashe,
  19. Paul Makonda
  20. Makame mbarawa,

  Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo

  KUMI BORA ROUND YA KWANZA
  1. Hamisi kigwangala
  2. Mwigulu Nchemba
  3. Hussein Mwinyi
  4. January makamba
  5. Tulia ackson
  6. Makongoro Nyerere
  7.Suleiman jaffo
  8.Diodorus Kamala
  9. Bernard membe
  10. Harrison mwakyembe

  HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
  AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
  Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
  TANO BORA

  1. Mwigulu Nchemba
  2. Hussein Mwinyi
  3. Akson tulia
  4.Suleiman jaffo
  5.Diodorus kamala

  MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA

  Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,

  Hussein Mwinyi 768
  Mwingulu nchemba 710
  Ackson tulia 308
  Suleiman jaffo 163
  Diodorus Kamala 136

  Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
  Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,

  TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
  MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,

  1. Hussein mwinyi 1800+
  2. Ackson tulia 600
  3. Mwigulu Nchemba 320

  MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI

  Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
  UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,

  jaman ni utabiri wangu tu

  LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
  :)
  Samuel
   
 2. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #41
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  We ndo huoni
   
 3. Emmadogo

  Emmadogo JF-Expert Member

  #42
  Aug 16, 2017
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 4,159
  Likes Received: 3,429
  Trophy Points: 280
  Vipi ndugu yangu Umeongea na Mungu akakujibu kuwa hao wote watakua hai 2025?

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 4. jimmyfoxxgongo

  jimmyfoxxgongo JF-Expert Member

  #43
  Aug 16, 2017
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 4,365
  Likes Received: 6,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu tupe wako unayeona anafaa kwa wale jama wa kijani
   
 5. M

  Mbandure JF-Expert Member

  #44
  Aug 16, 2017
  Joined: Sep 17, 2016
  Messages: 226
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Punguza kukurupuka hebu kafuatilie sifa za mgombea wa uraisi ndo uje na hoja za msingi. Katika hili umepotea
   
 6. stargirl

  stargirl JF-Expert Member

  #45
  Aug 16, 2017
  Joined: Jul 2, 2017
  Messages: 468
  Likes Received: 532
  Trophy Points: 180
  Gwajima ashasema kukaa mbali na raisi ni ujuha,unatakiwa kuwa nae karibu
   
 7. Jamalm335

  Jamalm335 JF-Expert Member

  #46
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 5, 2015
  Messages: 2,131
  Likes Received: 3,607
  Trophy Points: 280
  Kwa kukosa penalti
   
 8. CCM MKAMBARANI

  CCM MKAMBARANI JF-Expert Member

  #47
  Aug 16, 2017
  Joined: Mar 15, 2017
  Messages: 632
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 80
  mungu akinipa uhai ntarud january 2025 kutoa utabiri
   
 9. Labyrinth 84

  Labyrinth 84 Member

  #48
  Aug 16, 2017
  Joined: Feb 13, 2017
  Messages: 76
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 25
 10. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #49
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Haiwezekan
   
 11. Victor wa happy

  Victor wa happy JF-Expert Member

  #50
  Aug 16, 2017
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 9,444
  Likes Received: 6,775
  Trophy Points: 280
  Atakuja na jina moja tu la kassim majaliwa
  Anamwamin bsana

  mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
   
 12. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #51
  Aug 16, 2017
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,879
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Rais 2025 ni Kassim Majaliwa.
   
 13. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #52
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  HAKUNA
   
 14. Tajirimsomi

  Tajirimsomi JF-Expert Member

  #53
  Aug 16, 2017
  Joined: Jan 12, 2017
  Messages: 4,646
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Unamsahau vipi lukuvi wewe narudia tena rais ajaye ni lukuvi labda afe m ntakuwepo
   
 15. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #54
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Lukuvi Ana madhaifu yake
   
 16. kisu cha ngariba

  kisu cha ngariba JF-Expert Member

  #55
  Aug 16, 2017
  Joined: Jun 21, 2016
  Messages: 21,540
  Likes Received: 46,615
  Trophy Points: 280
  Hapo sijamuona jingalao,rutashobolwa,wakudadavua,lizaboni,bashite.
   
 17. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #56
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Wakudadavuwa kivip haha
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #57
  Aug 16, 2017
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,484
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Sarakasi za ccm mmeshazisahau mara hii. Wanaume wataambiwa ni zamu ya sidiria safari hii, au safari hii ni zamu yetu, kwa hiyo nyinyi wengine inabidi mtupishe, naamu wanaweza ambiwa safari hii anatoka mashariki ya kati kuja Africa mashariki.
   
 19. Tajirimsomi

  Tajirimsomi JF-Expert Member

  #58
  Aug 16, 2017
  Joined: Jan 12, 2017
  Messages: 4,646
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Madhaifu gani ?yule ndo president material aliyebaki
   
 20. Tajirimsomi

  Tajirimsomi JF-Expert Member

  #59
  Aug 16, 2017
  Joined: Jan 12, 2017
  Messages: 4,646
  Likes Received: 4,725
  Trophy Points: 280
  Hata kagasheki anafaa
   
 21. Samweli Mathayo

  Samweli Mathayo JF-Expert Member

  #60
  Aug 16, 2017
  Joined: Aug 1, 2017
  Messages: 1,371
  Likes Received: 1,234
  Trophy Points: 280
  Kagasheki anafaa Ila hataki
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...