Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma

Mawazo yako ila Membe mtoe kabisa,hatokaa ajitokeze tena,,yanayomkuta Manji kwake ni salamu tosha!!

Hussein Mwinyi?!! Kwa crdebility zipi?? Uzanzibar? Huyo hata Ubunge hasitahili,jina la Baba yake na le hulka ya kuwa watoto wa vigogo lazima wawe wabunge then mawaziri ndio vinambeba!! Kwangu Kingwendu ni bora kuliko huyo mtu!!
 
Na VIP ikitokea akawa Rais wako?
 
History so nzuri kwa mawaziri wakuu,
Msuya,
Malechela
Sumaye
Lowassa,
Hivyo majaliwa sahau

Huwezi kufahamu huenda CCM wakatumia mtindo kama ule wa Vladimir Putin na Dmitry Medvedev ambao wamebadilishana kama mara mbili hivi.
 
Come 2025, most of these people will long be dead and gone! Miaka 8 ni mingi. Nothing can be speculated at this time... Keep on waiting to see!
 
Huwezi kufahamu huenda CCM wakatumia mtindo kama ule wa Vladimir Putin na Dmitry Medvedev ambao wamebadilishana kama mara mbili hivi.

Yaani 2025 Majaliwa Kassim atapitishwa kuwa raisi na baadae akamteua JPM kuwa waziri mkuu.
Kwahiyo majaliwa awe rais alafu jpm WAZIRi Mkuu? Kwa katiba ipi?
 
Sioni cha makamba wala ni nini! makamba huwa anaishi kwa kujipendekeza sema kwa ngosha imegoma kwani yupo bashite kaganda kama lulu!
 
Hahah ndoto nzuri lakini kuna ukweli fulani kwa wagombea wote
Mwinyi hajawahi kuchukua fomu....huyu kuna uwezekano akaenda znz 2020
Wengine wata gombea ila jina la mfukoni lazima wawemi 2 wa kanda ya ziwa.
Na ccm ujuwe baada ya uchaguzi wao wa ndani unaokuja kuna bonge la mgawanyiko linatokea.

Wajumbe wa NEC wanapunguzwa kwa 50%
Wale wa CC wanapunguzwa by 25%

Hivyo ujue mwenyekiti ataweka watu wake watupu CC
Na NEC kina Membe na Nape watakatwa

Kina bashe , msukuma watanyimwa ubunge

Bashite ataingia 3 bora, mkuu hajali kama anatakiwa au vipi Atalazimisha

Ukawa itaimarika sana baada hali ya uchumi kama mwelekeo haukubadilika hali itakuwa mbaya sana , kazi zitapotea na hakuna biashara zitazidi kufungwa

Watakao katwa wataingia upinzani na ukawa

Lowasa 2025 ni Mzee wa kimasai hatagombea

Ila ccm kufika 2020 itakua kazi sana maana vijana wengi mhhh jobless , ajira hata ya kujiakiri hamna zaidi ya umachinga

Kilimo hakuna mikopo

Viwanda ni mtihani
2020 Tanzania ndio itashuhudia kukua upinzani kwa nguvu...kila alosoma namba atakitoa
Ccm itabaki na wa vijijini wasio tambua hata kama nyerere amekufa

Yaani CCM itakuwa hoi
 
Kwahiyo lowassa atarudishiwa chenj? Maana makubaliano angombee mara 2
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom