Pale mwenyekiti wa CCM 2025 atakapokuja na majina matano bora mfukoni kamati kuu Dodoma


Kabembe

Kabembe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2009
Messages
2,482
Points
2,000
Kabembe

Kabembe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2009
2,482 2,000
Tulia anachukua,itachezwa turufu ya jinsia,she young,msomi na amekuwa naibu spika/spika.
 
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Messages
2,194
Points
2,000
K

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2015
2,194 2,000
Mkuu hebu tupe wako unayeona anafaa kwa wale jama wa kijani
Mkuu fuatilia historia ya dunia,hakuna chama cha wapigania Uhuru toka kwa mkoloni kilichowahi kuleta mainduzi ya kiucumi na kijamii. Hata wachina ilibidi waje kuchapana tena ndio nchi ikakaa sawa!!

Vyama vya uhuru huona nchi ni mali yao,koo zao na rafiki zao wafanyabiashara. Nyerere & Sons,Mwinyi & Sons,Magufuli nae ameshaanza kama mlivyoona posho za ule TANROADS,Pay Master General kule hazina,na hiyo ni miaka miwili tubado marafiki na wafanya biashara atakaowaumba yeye!!

CCM ni Cancer,ikatwe ama iue uhai, CCM ni dubwana kkubwa,limekuwa kuu kuu na kukosa ufanisi,haijaishi nani atakujahawezi fanya total reform,atafanya Cosmetics Reform. Hembu mwambieni basi jamaa ashitaki wale waliogaiana nyumba zaidi ya 2000 zikiwa maeneo ya uzunguni!!

Nyumba 2000+ kwa value ya ardi yake tu na majengo location ziliko,ni zaidi ya EPA,ESCROWKagoda na Makinikia!!!
 
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,544
Points
2,000
Age
53
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,544 2,000
Kale ka nyimbo ka tuna imani na fulani........katapita na mtu naona
Tunaimaniii naye membeee oyaaa oyaaa oyaaaa kweli ,kweli kweli membeee
 
kibanga 3

kibanga 3

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Messages
1,388
Points
2,000
kibanga 3

kibanga 3

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2015
1,388 2,000
Kwanza nafikiri hakutakua na msururu wa majina mkulu ataamua tu majina mawili tu yanatosha na hakuna wa kuhoji ili kubana matumizi wale wa mitandao watajikuta sero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,784
Points
2,000
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,784 2,000
Kwanza nafikiri hakutakua na msururu wa majina mkulu ataamua tu majina mawili tu yanatosha na hakuna wa kuhoji ili kubana matumizi wale wa mitandao watajikuta sero

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, wala mkuu hatotaka maswala ya mgombea kupitishwa, atampitisha mwenyewe kwasababu yeye ndio mwenye uchungu na nchi kuliko nyie..
"iri kusudi nchi iweze kupiga hatua"

CCM hoyee, fanya fyoko uone!
 
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Messages
785
Points
500
fidel castro wapili

fidel castro wapili

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2017
785 500
Ijulikane kuwa haya ni mawazo yangu niliyopata toka kwa wadau mbali mbali hivyo si lazima uyakubali waweza yakataa tukashindana kwa hoja,

WATAKAO CHUKUA FORM ZA KUOMBA UTEUZI

Hawatakuwa wengi mno
1. Hamisi kigwangala
2. Nape nnauye
3. Mwigulu Nchemba
4. Hussein Mwinyi
5. January makamba
6. Samia suluhu
7. Tulia ackson
8. Makongoro Nyerere
9. Emanuel Nchimbi
10.Suleiman jaffo
11.Diodorus Kamala
12. Sospeter muhongo
13. Steve masato wassira,
14. Bernard membe
15. Harrison mwakyembe
16. Mmoja wa darasa la Saba toka kigoma,
17. Mathias Chikawe,
18. Hussein Bashe,
19. Paul Makonda
20. Makame mbarawa,

Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo

KUMI BORA ROUND YA KWANZA
1. Hamisi kigwangala
2. Mwigulu Nchemba
3. Hussein Mwinyi
4. January makamba
5. Tulia ackson
6. Makongoro Nyerere
7.Suleiman jaffo
8.Diodorus Kamala
9. Bernard membe
10. Harrison mwakyembe

HAITAPIGWA KURA ILA WATAANZA KUKATA SASA,ILI MAJINA YAENDE KAMATI KUU( KUMBUKA MBOWE ANASUBIRI ATAKAYEKATWA -MEMBE)
AWAMU HII INAUMIZAGA WATU KUKATA
Kamati kuu itakaa Na kupitisha yafuatayo
TANO BORA

1. Mwigulu Nchemba
2. Hussein Mwinyi
3. Akson tulia
4.Suleiman jaffo
5.Diodorus kamala

MWENEZI WA CCM ANATOKA NA KUSEMA WALIOPITISHWA NI HAO HAPO JUU, TUNAENDA KUPIGA KURA SASA

Wanachama wa almashauri kuu wanapiga kura,

Hussein Mwinyi 768
Mwingulu nchemba 710
Ackson tulia 308
Suleiman jaffo 163
Diodorus Kamala 136

Hivyo watatu wajuu wanapigiwa kura
Na kura zinahesabiwa USIKU kucha wakati Ni chache sana,

TETESI ZA KUIMARISHWA ULINZI KWA MMOJA ANAYEDHANIWA ZINAANZA,
MKUU ANATOA MAELEZO YA KULINDA NYUMBA NA FAMILIA YA ANAYEPITA,

1. Hussein mwinyi 1800+
2. Ackson tulia 600
3. Mwigulu Nchemba 320

MGOMBEA WA CCM 2025-2030 NI HUSSEIN MWINYI

Huku GWAJIMA ANAANZA KUISAKA NAMBA YA MEMBE,
UKU LOWASSA ANATIMKIA ACT,

jaman ni utabiri wangu tu

LAKIN MKAE MKIJUA CCM wanakuwa wanamjua nan Anagombea nyingine mbwembwe tu,
:)
Samuel
Bashite cjamuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kibanga 3

kibanga 3

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Messages
1,388
Points
2,000
kibanga 3

kibanga 3

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2015
1,388 2,000
Hahaha, wala mkuu hatotaka maswala ya mgombea kupitishwa, atampitisha mwenyewe kwasababu yeye ndio mwenye uchungu na nchi kuliko nyie..
"iri kusudi nchi iweze kupiga hatua"

CCM hoyee, fanya fyoko uone!
Na kura zitapigwa za wazi kama katiba ilivyopitishwa hakuna cha siri hapa na ole wako usishangilie utakiona cha moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,459
Points
2,000
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,459 2,000
Ikitokea HM akaenda Zbar 2020.......ina maana hapa Bara ndio hao wanabakia! Kigwa JM Mwigulu eti na, bashite............hahahhahaha! ! ! Nachojua JM amenadaliwa kuja kuwa President lini and how sijui
January makamba bado sana, ntakwambia, hebu waangalie hao wawili
1. Hekima
2. Kashfa
3. Weledi
4. Access ya ikulu
5. Maono

Naona Mwinyi anafaa sana
 
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,544
Points
2,000
Age
53
Samweli Mathayo

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,544 2,000
Ikitokea HM akaenda Zbar 2020.......ina maana hapa Bara ndio hao wanabakia! Kigwa JM Mwigulu eti na, bashite............hahahhahaha! ! ! Nachojua JM amenadaliwa kuja kuwa President lini and how sijui
Makamba amemuandaa Nani achen assumption, Nani huwa anaandaa marais?
Ingekuwa president ni MEMBE ningesema labda, lakin kwa huyu, usishangae anateua tu
 

Forum statistics

Threads 1,295,669
Members 498,336
Posts 31,219,043
Top