Pale mwanamke anaponogewa na penzi

Pale mwanamke anaponogewa na penzi

Huyu mlokole kanogewa penzi au ana fantasize kuwa na mwanamme....Vipi status yake?
Kuna mahala nilipita nikaona ni kama walitengana na jamaa yake sahivi kila mtu anaishi kivyake ila utetezi wake ni kwa kuwa ameoteshwa afanya huduma kwa hio kila mtu ana kanisa lake na maisha yake sasa.
 
Ili kukufurahisha hatua ya kwanza lazma alipie kote huko ndio aanze kujibebisha sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
Ewaaaaah [emoji847][emoji847][emoji847]
Bila hivyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu ukinishika kiuno mawazo yote yapo kwenye madeni jamani
 
Ewaaaaah [emoji847][emoji847][emoji847]
Bila hivyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu ukinishika kiuno mawazo yote yapo kwenye madeni jamani
Haya mavikoba mnahangaikaga nayo ya kazi gani sasa.
 
And it doesn't take that much to make a woman happy. Women love to be respected, cherished and understood.

Women love to be spoilt with random gifts and constant reminders that they are loved. Never get tired of telling your woman that you love her.

Kiss your woman, hug her tight and spend time with her.

A woman loved right, glows like the full moon in all its glory.
"And women love money as well"

Long time Karucee mpaka siku moja nkakuulizia humu wakati sina kawaida hiyo hahahahaha.
 
Kuna mahala nilipita nikaona ni kama walitengana na jamaa yake sahivi kila mtu anaishi kivyake ila utetezi wake ni kwa kuwa ameoteshwa afanya huduma kwa hio kila mtu ana kanisa lake na maisha yake sasa.
Sasa ndo uelewe kuwa hili ni dongo bin mfinyanzi.
We uliskia Mungu anaotesha ndoto za kuachana ?
Yani ndoto ije paaap achana na huyu ili uanzishe kanisa.
Mxxxxxxxxxie Huo utakatifu wa Musa Yohane na Eliya haupo kizazi hiki.
Not with all these type of life.
Much worse hii ya waimbaji wa injili wa zamani wote kuwa na makanisa au Mungu amewaotesha ndoto za kuachana.

Waaachane tu kiroho safeee hata sisi tunaachana na life inasonga.
Upuuzi wa kujitaftia kichaka cha ushenzi ukitumia Jina la Mungu ndo wanapofeli.

Kuhusu glowing,yes she is.
And very beautiful indeed
Seem to be ver very happy in her new relationship.
Ambayo ni sawa kabisa.
Ila wasifanye janjajanja za oh sijui Mungu aliniongoza.
Watupumzishe kidogo.
 
"And women love money as well"

Long time Karucee mpaka siku moja nkakuulizia humu wakati sina kawaida hiyo hahahahaha.
I already addressed that. Women love to be pampered with random gifts. And yes we love money. While heard earned money from your own sweat tastes good, our lovers money tastes better.

We hope we don't have to push him into spending on us, but when he doesn't understand his duties oh we spend in excess to make up for the past. Lol

Miss you too. Nipo nimejaa teleee.
 
Kiddo, you gud!
Big sis love you still.
And missed you too.
 
Wanawake tunajuana. Huyo dada alichokisema ni sahihi lakini kupitia maneno yake kuna wanaume hawatamuelewa wanachangia tu.ukisikia mwanaume very smart ni yule anaetoa huduma bila kuombwa anajua mwanamke anataka nini.

Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna makubwa kafanyiwa.( hapa mashine ni bonus)
Mtoto wa kiume tafuta hela na sisi tunatafuta sio kusema hela hatuna.
Mkifungua pochi na sisi tunafungua. Si mnajua wengi hatunaga mkono mgumu? Mkiwa wabahili jibu ni lile lile.

Neno " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
msumari wa moto...

Neno " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
 
My first priority ni Mimi Kwanzaa kabla sijamfurahisha mwanamke lazima niwe na furaha mimi
Nakazia huu usemi wako.
Charity begins at home. Ngumu sana kumpenda mtu mwingine pasipo kwanza kujipenda wewe mwenyewe.
My first priority ni mimi kwanza. Na napenda fedha sana ndiyo maana nipo bize kutafuta zangu.
#kilaKituKwaKiasi
 
Back
Top Bottom