Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,043
Kwangu mimi mwanamke anayetaka nimuhudumie basi akubali kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani tu.Wanawake tunajuana. Huyo dada alichokisema ni sahihi lakini kupitia maneno yake kuna wanaume hawatamuelewa wanachangia tu.ukisikia mwanaume very smart ni yule anaetoa huduma bila kuombwa anajua mwanamke anataka nini.
Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna makubwa kafanyiwa.( hapa mashine ni bonus)
Mtoto wa kiume tafuta hela na sisi tunatafuta sio kusema hela hatuna.
Mkifungua pochi na sisi tunafungua. Si mnajua wengi hatunaga mkono mgumu? Mkiwa wabahili jibu ni lile lile.
None " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
Personally, i find it very peculiar to make it rain to a woman who earns a regular monthly basis income.
Ukiwa mama wa nyumbani, pesa nitakupa. Otherwise hapana!! Maana hata mie napenda pesa pia sana na ndiyo sababu nipo bize natafuta zangu.