Pale mwanamke anaponogewa na penzi

Pale mwanamke anaponogewa na penzi

Wanawake tunajuana. Huyo dada alichokisema ni sahihi lakini kupitia maneno yake kuna wanaume hawatamuelewa wanachangia tu.ukisikia mwanaume very smart ni yule anaetoa huduma na care bila kuombwa anajua mwanamke anataka nini.

Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna nakubwa kafanyiwa.( hapa mashine ni bonus)
Mtoto wa kiume tafuta hela na sisi tunatafuta sio kusema hela hatuna.
Mkifungua pochi na sisi tunafungua. Si mnajua wengi hatunaga mkono mgumu? Mkiwa wabahili jibu ni lile lile.

None " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna makubwa kafanyiwa. (Hapa mashine ni BONUS)

UPO SAHIHI Mkuu
 
And it doesn't take that much to make a woman happy. Women love to be respected, cherished and understood.

Women love to be spoilt with random gifts and constant reminders that they are loved. Never get tired of telling your woman that you love her.

Kiss your woman, hug her tight and spend time with her.

A woman loved right, glows like the full moon in all its glory.

All those things and u still say "it doesn't take that much"[emoji1][emoji1][emoji1]

How much is that much?
 
You can do all that to her, still she mess up
And it doesn't take that much to make a woman happy. Women love to be respected, cherished and understood.

Women love to be spoilt with random gifts and constant reminders that they are loved. Never get tired of telling your woman that you love her.

Kiss your woman, hug her tight and spend time with her.

A woman loved right, glows like the full moon in all its glory.
 
Haya bwana. Langu mm ni ombi tu [emoji28][emoji28]. Mwenye ni demu aje tu tupendane maan nishachoka kupenda tuu bia now nataka nipende mpenzi but angalizo ni moja. SINA PESAAA. Narudia tena SINA PESAAA! Kama pesa ni muhimu saan kwenye upendo kati ya watu wawili na ww tafuta zako uje nazo.
Mimi APA njoo tupendane
 
Love is a beautiful thing indeed, when it hits a right spot it makes a person glow and glitter with happiness, maneno huwa matamu namna hii. Lets make our patners happy wandugu.
[View attachment 1640361]
Hapa kuna fumbo, huyo aliyegundua mission nyuma ya pazia hafai, tafuta ambaye hajui utafanikiwa, ukweli inategemeana na mission ya mwanamke anataka nini kwenye haya mahusiano, kwani Wanaume wengi wanakua nia njema. ila wadada wana mission tofauti.
 
Wanawake tunajuana. Huyo dada alichokisema ni sahihi lakini kupitia maneno yake kuna wanaume hawatamuelewa wanachangia tu.ukisikia mwanaume very smart ni yule anaetoa huduma na care bila kuombwa anajua mwanamke anataka nini.

Ukiona uso wa furaha wa huyo dada jua kuna makubwa kafanyiwa.( hapa mashine ni bonus)
Mtoto wa kiume tafuta hela na sisi tunatafuta sio kusema hela hatuna.
Mkifungua pochi na sisi tunafungua. Si mnajua wengi hatunaga mkono mgumu? Mkiwa wabahili jibu ni lile lile.

None " very smart " msilichukulie eti ni ule u smart wa kuchomekea na mwiko.
Hii ni kweli mwanamke anataka pesa kutoka kwa mwanaume na Mwanaume anataka huduma, Mwanaume tafuta pesa.
 
And it doesn't take that much to make a woman happy. Women love to be respected, cherished and understood.

Women love to be spoilt with random gifts and constant reminders that they are loved. Never get tired of telling your woman that you love her.

Kiss your woman, hug her tight and spend time with her.

A woman loved right, glows like the full moon in all its glory.
Wewe mwanamke, wake wa watoto wako watapata raha sana.
 
OYO: Usije ukasikiliza ushauri wa jinsi ya kumtreat mwanamke kutoka kwa mwanamke hata siku moja.

Ni sawa wewe ni Simba halafu ukutane na swala anakufundisha jinsi ya kukamata Swala na kuwala vizuri.

itabidi utafute Simba wazoefu ndo wana ushauri wa maana
 
Ni kwamba usiombe ushauri kwa Mwanamke,pindi mahusiano yako yanapo yumba.
Atakupoteza kabisaaa.
 
Back
Top Bottom