Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

naogopa kufa mkuu, au ukinipenda husemi yale maneno yako

teh teh

mtani bhana una mambo!!!! mie nipende tu nilivyo usije fika mara ooohoo napenda uwe hivi na vile, hiyo hivi na vile tafutaga tu utakutana nayo

duuuuh
Best choice. Mie napenda ukinipapasa mgongoni kwa vidole viwili ( cha pete na cha kati)
 
Ndio maana makabila mengine yanakataa jando ! Kwani kale kangozi kanakoondolewa kana kosa gani ? Mungu kakaweka kwa kusudi lake ! Maajabu hata Yesu alitahiriwa , kulikoni ?
 
Ndio maana makabila mengine yanakataa jando ! Kwani kale kangozi kanakoondolewa kana kosa gani ? Mungu kakaweka kwa kusudi lake ! Maajabu hata Yesu alitahiriwa , kulikoni ?
Yale ni maagizo yake na maagizo ya Mungu ni sheria
 
Back
Top Bottom