Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

unnamed.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu wakiyafanyia modification magari ya watu.... Gari itaongezwa hiki na kupunguzwa kile mpaka inapoteza uasili wake kabisa... Sasa hizi ni kazi za mwanadamu hazina shida sanaView attachment 577115mambo iko hapa... Kwamba unajaribu kumsahihisha Mungu?
Nywele za bandia ni kuedit uumbaji
Kutoga mwili
Kuchora tatuu
Kutinda nyusi
Mkorogo
Makalio bandia nk nk... Tunajaribu kumkosoa fundi wetu.... Mbona hatukati vidole?mbona hatuzibi tundu moja? (La pua) mbona hatung'oi jicho moja?
Mungu hakosolewi

Kaka shikamooo
 
Mkuu yan iyo pic imentisha nkazan jin duh!
 
Kutahiri sio kumkosoa Muumba hata Yesu alishiriki. Ni urembo tu ila wasizidishe kama jujichubua ni kumsahihisha Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
yote haya yanasababishwa na wanaume, unakuta uko na kabinti unaanza kukaambia hivi ungekuwa light kidogo ungependezaaaa,

bila kujiongeza kuwa incase of Cancer ni nani ataathirika kanajituma kwenye mkorogo

kweli Mungu anawaona
 
Sasa huo mdomo hapo si anaweza kula chapati bila kukunja[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom