Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Mie napita,inashallah mwenyezi mungu atunusuru na atusamehe kwa yote tunayo mkosea tunayo yajua na tusiyo yajua..
 
Hamna kitu nisiyopenda kama mwanamke anayejichubua yani kama unajua umejipiga mkorogo hata post zangu usi-like [emoji35][emoji35][emoji35]
Ahahahaaaaa Mimi nimelike ivyo ivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu wakiyafanyia modification magari ya watu.... Gari itaongezwa hiki na kupunguzwa kile mpaka inapoteza uasili wake kabisa... Sasa hizi ni kazi za mwanadamu hazina shida sanaView attachment 577115mambo iko hapa... Kwamba unajaribu kumsahihisha Mungu?
Nywele za bandia ni kuedit uumbaji
Kutoga mwili
Kuchora tatuu
Kutinda nyusi
Mkorogo
Makalio bandia nk nk... Tunajaribu kumkosoa fundi wetu.... Mbona hatukati vidole?mbona hatuzibi tundu moja? (La pua) mbona hatung'oi jicho moja?
Mungu hakosolewi


Sent using Jamii Forums mobile app
mkuuu utagusa wengi kabisa hapa. ila bhana hata kutairi ni kosa? tusiangalie kila kitu bhana tutashindwa kwenda mbele lol
 
Back
Top Bottom