Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

Pale mwanadamu anapomsahihisha Mungu

kukata hivyo mdomo ni kwaajili yanini..?
 
Hizi ishu hazikuanza jana wala juzi, wala hazikuanzia Afrika! Kiumbe mwanadamu hujifanya mahiri na mjuvi wa mambo kwenye kila eneo! Hata pale ambapo ubunifu sio wake
Nimeona maranyingi watu wakiyafanyia modification magari ya watu.... Gari itaongezwa hiki na kupunguzwa kile mpaka inapoteza uasili wake kabisa... Sasa hizi ni kazi za mwanadamu hazina shida sanaView attachment 577115mambo iko hapa... Kwamba unajaribu kumsahihisha Mungu?
Nywele za bandia ni kuedit uumbaji
Kutoga mwili
Kuchora tatuu
Kutinda nyusi
Mkorogo
Makalio bandia nk nk... Tunajaribu kumkosoa fundi wetu.... Mbona hatukati vidole?mbona hatuzibi tundu moja? (La pua) mbona hatung'oi jicho moja?
Mungu hakosolewi


Sent using Jamii Forums mobile app

Sidhani kama ni kukosoa, anyway ni maada ndefu na imeanzia mbali, lakini ukisimamia hapo basi hata kuwekewa figo ya mwingine ni kumkosoa mungu, Kuwekewa mishipa mipya kwenye moyo ulioziba ni kumkosoa Mungu nk nk nk

Kitu unachokifanya kwenye mwili wako kama kina Madhala hapohapo utayaona, kama hakuna madhara wala hakuna shida
 
naogopa kufa mkuu, au ukinipenda husemi yale maneno yako

teh teh

mtani bhana una mambo!!!! mie nipende tu nilivyo usije fika mara ooohoo napenda uwe hivi na vile, hiyo hivi na vile tafutaga tu utakutana nayo

duuuuh
Hivyo hivyo loh usizidishe wala usipunguze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kwa kabila lao nahisi hata huyu Mungu tunaemwabudu hawamjui, tena inawezekana kutoboa lips zao ni sehemu ya ibada.
 
Sidhani kama ni kukosoa, anyway ni maada ndefu na imeanzia mbali, lakini ukisimamia hapo basi hata kuwekewa figo ya mwingine ni kumkosoa mungu, Kuwekewa mishipa mipya kwenye moyo ulioziba ni kumkosoa Mungu nk nk nk

Kitu unachokifanya kwenye mwili wako kama kina Madhala hapohapo utayaona, kama hakuna madhara wala hakuna shida
Hayo uliyoyataja ni matibabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom