OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
hivi wanawake wanaojirahisisha hivyo wako dunia hii hii ?
Waaaapo kibao tena na mkwara wanapiga!!!!!
Kaka yako ni muhanga wa hii mambo, yaani mtu anashupaa kabisa uzae naye!!!!
hivi wanawake wanaojirahisisha hivyo wako dunia hii hii ?
hii story mbona inakuhusu wewe mbona umetoa maneno utafikiri unajua ujumbe utapokelewa? afu acha mawazo mgando bana kwani kuzaa na mtu hadi mwanamke awe na umri mdogo kuliko mwanaume? hayo yalikuwa zamani sana
tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnadhani mnanyanyaswa! Mnashindwa kufahamu kuwa anae waambia ukweli anawapenda.
Waaaapo kibao tena na mkwara wanapiga!!!!!
Kaka yako ni muhanga wa hii mambo, yaani mtu anashupaa kabisa uzae naye!!!!
hahhah sijawahi kuona ukishupaliwa kukataa unashindwaje itakuwa style ya sungura hii
Hahaha unajitetea tu kuwa sio kweli. Yaani mtu aanze tu kunipigia na kujitambulisha? Hizo korodani zako zingetufaa for poached eggs bfast.
Kukataa hapa ndio chimbuko lake sasa!!
Unadhani mwanzo anaanza kwa nguvu NO inakuwa kama utani flani ghaflaa ndio inakuwa kama ugomvi! !
Ipo hii tabia imezuka na inakomaa taratibu baadhi ya wadada kutaka KUPEWA mimba tu hakafu utasikia, sikusumbui masomo wala malezi!!!
hahhah sijawahi kuona ukishupaliwa kukataa unashindwaje itakuwa style ya sungura hii
Mbegu utampa, damu yako je? Hamna kosa kubwa kama mwanaume kuzaliaha ovyo ovyo. Unakuta kijana mdogo 28yrs keshazalisha wadada watatu. Ni aibu.hahaha nacheka kama mazuri jamani ndo wanawake wamekuwa desperate kiasi hichi ila kama shida mimba tu unampa mbegu akapandizwe huko na mkataba wa kutojuana
Mbegu utampa, damu yako je? Hamna kosa kubwa kama mwanaume kuzaliaha ovyo ovyo. Unakuta kijana mdogo 28yrs keshazalisha wadada watatu. Ni aibu.
Nitakupa theory yangu, OLESAIDIMU asijishaue hapa. Wanaanzia mbali, flirting etc. Then anagundua kimeo hichi kitaniganda anaanza kuteleza. Mdada anakuwa mkali. Mtu hana hata evidence za msg na emails anaanzaje kukublackmail hadi ampigie mkeo?
huyo rafiki yako ni mtunzi wa nyimbo za Bi Khadija Kopa?
hahaha nacheka kama mazuri jamani ndo wanawake wamekuwa desperate kiasi hichi ila kama shida mimba tu unampa mbegu akapandizwe huko na mkataba wa kutojuana
Si neno zuri kwa kweli
Hapa ni kuungana tu bila hivyo hawatatuacha, wakilala wakiamka ni wanawake tu hakuna kazi nyingine?
Ina maana ndo zimefika zile siku za kwamba wanawake saba watamwendea mwanaume mmoja wakisema walau tuitwe kwa jina lako??