Pale msichana anapojifanya kichwa maji

Pale msichana anapojifanya kichwa maji

Ina maana ndo zimefika zile siku za kwamba wanawake saba watamwendea mwanaume mmoja wakisema walau tuitwe kwa jina lako??

Naam , nao watatega siko kwa umakini ili wasiweze pitwa .
 
Jamani enough bila sie wadada mngepatikana nyie wanaume???
Mnatusimanga sana na maneno yenu kitu kidogo wanawake eheee

Dah! Poleni sana. Kiukweli, kila siku lazima kuna nyuzi kuhusu Ke kutoka kwa Me za 'kuponda'. Ila tambueni, wakikujadili ujue wamekukubali. Hivyo tukiwajadili mjue tumewakubali na tunafikiria kuhusu nyie muda mwingi. Chukueni hii kama changamoto, pia nina uhakika kuna masingle ladies wengi humu JF wanatafuta waume wa kuja ishi nao eidha kupitia JF au sehemu nyingine. JF na topix kama hizi kutoka kwa wanaume inawawezesha hao single ladies kiasi fulani 'kuingia' kwenye vichwa vya wanaume na kujua nini kinaendelea na pia kujua sisi viumbe wa Me tuko vipi na jinsi ya kuishi nasi. Hivyo topix kama hizi za 'kuponda' kina dada sio mbaya kama zitachukulia kwa mtazamo chanya. JF inawawezesha baadhi ya kina dada kujua jinsi wanaume wa kweli walivyo. Hamna ku-act humu. Msomavyo, vingi ndo hali halisi jinsi tulivyo wengi.
 
Of course n changamoto ila je hakuna mada huko nje n wanawake tu???? Sio kua hatukubali kuambiwa ila mkar mfaham kama mtu kashindwa kwao na wazaz wake na akashindwa na mumewe usifikiri wewe mtu baki utaweza huyo n.wa kuacha dunia imfunze zipo mada kibao sio wanawake kila siku hiki ndo tumekichoka wanawake wanawake on my foot!!!! Tusemeni turekebisheni watakaosikia watasikia wasiikia watajua wao
 
Jukwaa hili, ni kweli. Topic nyingi ni wanawake, wanawake, wanawake. Ila ukijimix majukwaa mengine, utakuta kuna topix zingine kibao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom