mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Ni pale dada anapotumia njia zote kukutega lakini zikashindikana, ukazipangua. Anaona haitoshi anaamua akuchane live kuwa, anakupenda anataka umuoe. Yupo tayari kubadili dini na kuwa mke wa pili, mahari atatoa mwenyewe! Kidume unamchomolea.
Anakuja na lengine, kama unakataa ku nioa basi nizalishe hata watoto wawili( wanaume wote sio wazinifu Kama unavyofikiria)
Anaona mpango haujafanya kazi, anaamua kutafuta number ya simu ya wife anampigia na kujitambulisha kuwa yeye ni mke mwenzake. Kuna wadada wengine hamnazo sana.
We kitulize ukipendwa utafatwa. Kwanini unajitongozesha, unajidhalilisha na kutaka kuvunja ndoa ya watu kwa maneno ya uongo?
Halafu kama ni kuongeza mke wa pili kwanini nikufate wewe nungaembe uliyenizidi umri, wakati kuna wadada kibao warembo wa dini yangu, niliowapita umri.
Kama unataka kuzaa, lazima uzae na mimi? kuna vijana kibao vijiweni hawajui hata papuchi ilivyo. Watafute wakuzalishe. Usijidhalilishe kwa mtu asiyekutaka wala Hana mpango na wewe.
Hii habari nimeitoa kwa jamaa yangu Leo, nilipoenda kusuluhisha ugomvi kati ya Jamaa( rafiki yangu) na mkewe juu ya huyu dada anayefanya nae kazi office moja na jamaa. Nikaoana si vibaya kuwafikishia ujumbe huu kwa wale dada zangu wengine wenye tabia hii, labda mnaweza mkapata kitu cha kujifunza dada zangu.