Pale mke wangu anapomuonea wivu mwanae mchanga

Pale mke wangu anapomuonea wivu mwanae mchanga

ndio ni kweli
kabla inaonyesha ulikua unampenda sana mkeo
lakini baada ya kuwa n mtoto
kuna baadhi ya wanaume huwa wanahamishia majeshi kwa watoto..
hili linakwaza sana hata mimi ningekwazika kwakweli
maana unatakiwa ubalance mama na mtoto..
lakini wanaume wengine unakuta mtoto hata akianguka bahati mbaya unapokea kipigo cha hatari ,wakati zamani haukuwa hivo..
lazima dada wa watu anune...
 
Ukihamisha mapenzi yote kwa mtoto mkeo anahisi umemfanya mtambo wa kuleta watoto tu hukua na mapenzi nae. Epuka hilo mkuu.
 
Vipi baba mtoto?? Humnunulii mama mtoto viwalo tena kisa kaleta kinda... Jipange maana naonadalili ya kunyimwa huduma
 
Nikawaida kabisa mkuu...usifikiri kubeba mimba miezi tisa na varangati za leba ni kitu rahisi...inawezabadilisha mambo mengi katika akili ya mtu...wewe jitahidi tu kubalance na kuonyesha unampeda zaidi..atakua sawa tu mda si mrefu.
Ten nafikiri wewe una bahati sana coz analalamika unampenda mwanae....sasa wengine wanalalamika unampenda mchepuko zaid.
 
Hiyo ni kawaida tu na kuwa ikatokea naturally, na kwa sasa wewe huwezi kuona. Labda utaweza kuona tofauti kidogo mtakapopata mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom