Pale mipango inapofeli!!!!!!!!

Mara zote mipango ya kishetani huwa inashindwa sijui ni kwa nini?
 
Kumbe na huo ni mpango wa kishetani?
Khaaaaaaa sasa mkuu saudari unafikiri kama sio mipango ya kishetani ni nini?kutaka kuzifaidi mali za wenzio hata kwa macho si mipango ya kishetani,looooohhhh na amekomeshwa nadhani hataruudia tena.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh wewe hiyo ya kubadili avatar umelitolea wapi labda na unaweza kuzimention avatar nilizobadilisha??????
Mama wa kubadili Avatar upo? Kwani kuna kioo cha kuona upande mmoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…