Pale Meeda Sinza nako siku hizi balaa!

Pale Meeda Sinza nako siku hizi balaa!

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Juzi usiku narudi home nikasema nisimame pale mbele ya Meeda Sinza kuna duka lipo pembeni ya barabara ninunue vocha, ni mapema tu saa moja usiku. Napaki tu hamadi! wale wadada wamezunguka gari wametokea gizani,Sasa nikajiuliza je akitokea mwandishi wa Shigongo ghafla apige picha si naingia aibu na mai waifu ananikimbia!!!!

Hivi siku hizi biashara hii inaanza mapema eeeh? :hatari:
 
Nimemkumbuka mchizi wangu Denis pande hizo ndo mitaa yake!
 
Mmmh, pamefikia point hiyo
Ngoja nirudi dar
Lazima kutakuwa na opotuniti ya uwekezaji hapo
Hata dawa za mbu za kuchoma
 
vipi milango ulikuwa umefunga vitasa..nasikiaga wanazama ndani ya mkoko bila hata ruksa..
 
..kaka hao ni jirani zangu...mwanangu bzes mapeema kinoma!!anko karibuu....karibu tuongee...hatutashindwana njoo bana...ebo!!
pembeni kuna sehemu wanaita kwa babu hapo ni buku mbili huduma ya kulala kwa muda mfupi...
 
Ungemchukua mmoja maana kuna watoto wakali sana pale
 
Tena leo weekend, ngoja tujisogeze maeneo
kumbe pamekua hivyo siku hizi?
 
Next week ntakuwa Dar
Sijui nani atanipokea ubungo?

Ningekuja kukupokea lakini tatizo unaweza kukuta wewe ni shemeji yangu au mai sista wangu itakuwa soo :embarassed2:
 
..kaka hao ni jirani zangu...mwanangu bzes mapeema kinoma!!anko karibuu....karibu tuongee...hatutashindwana njoo bana...ebo!!
pembeni kuna sehemu wanaita kwa babu hapo ni buku mbili huduma ya kulala kwa muda mfupi...

Hehehe, Aisee dogo kama unaishi hapo nakusihi usimpeleke demu wako ghetto mida ya jioni usije ukaaibika hawachelewi kusema "Kaka leo upo na wifi ndio unauchuna eee" halafu wanakuachia kimbembe.
 
Kumbe vijana nimewapa mchongo ALA! hahaha
Sio vijana tu, hata sie wazee hua tunaenda.....
Wanasema Ng'ombe hazeeeki maini......
Ntakua kwenye ule mti navuta ugoro wangu.......
 
Aisee wale hatari sana, kwanza nasikia hawachelewi kukuchomolea kisu kulaleki...

Dawa yao unachoma na mmoja halafu unaenda nae mbali ukizubaazubaa pale utaipata freshi yaani wamepinda wale watoto
 
utanikuta stendi nimejaa tele,wewe ni He au She?

hilo ni swalia mabalo huwa hajibu ila mkikaa kimya bila kumuuliza hilo swali yeye mwenyewe nutoa majibu bila kujua
 
Wengine tunawaona saa kumi na moja asubuhi wakati wa jogging! Hii Dar si mchezo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom