Paka wanaokuwepo madukani ni paka kweli

Paka wanaokuwepo madukani ni paka kweli

Kuna duka nilienda pia kulikua na paka, ilibaki kidogo nimkanyage.
Mwenye duka akanitqhadharisha ati kua makini paka ni wakali ukiwakanyaga anaweza hata kukuua.

Nikashangaa sana yaani paka aniuwe 007, agent makini wa Taifa, paka kabisa.
Akadai eti ukimpiga na kummwagia maji, anakuruki na kukurarua uso mpaka unakufa.

Wabongo wanapeana woga kipuuzi kabisa, labda uwe mdebwedo ndo paka anakuua.
 
Kuna bar maarufu hapo Tabata Bima maarufu kuna paka mweusi tiiii-huoneka kwa nadra sana.

Ipo siku ntamuuliza mkinga mwenye bar....maake nasikia hukataza watu wasimpige.
 
Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?

Maana kuna mmiliki wa duka fulani aliangusha kilio kama kafiwa mara baada ya paka wake kutoka dukani kwa bahati mbaya na kuchukuliwa nawapita njia, alitangaza dau nono kwa yeyote atakae muona na kumrejesha kwake.
kwa wale waliokuwepo mwanjelwa miaka ileeee, mnakumbuka lile soko la awali kabisa lilipoungua, sio hili la makala, lile la awali, wakinga walikuwa wanalia machozi hadi anadondoka chini sio kwa sababu mali zimeungua, analilia paka wake aliyeungua, wengi walienda kuokoa paka badala ya mali. ushetani ni mwingi sana kwenye maduka na biashara, na hata huwa hawajifunzi kwamba mwisho wa siku lazima ulipie kwa kuliwa kichwa na shetani yule yule. shetani atakupa mali zenye ndoana na kukuvua mzima mzima kabla haujarudi kwa Mungu kwa sababu lengo lake anataka wewe uende motoni, usipatane kabisa na Mungu na pia uwe ajenti wake hapa duniani kutengeneza watu wa kwenda motoni au kuwapumbaza watu kwa mali za dunia hii ili mwisho wa siku waende motoni.

MARKO 8:36, Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

pata pesa zote, pata vyeo vyote, pata wanawake wote au wanaume wote kwako wewe mwanamke, pata kila kitu, pata dunia yote, lakini mwisho wa siku unaenda motoni, kuna faida gani? maisha ya duniani ya kupita tu, mbele yetu kuna maisha ya milele motoni au uzimani. usipoteze nafsi yako kwa maisha ya muda mfupi, tafuta yale ya milele ukaishi pazuri na Mungu. shetani atakupumbaza kwa hirizi, masharti ya uganga n.k ili uvuliwe kama samaki kabla haujatengeneza na MUngu,
 
Haleluya! Mungu akubariki kwa Injili hii. Mwenye masikio na ASIKIE na kuchukua hatua ya kuikoa roho yake katika Jina la Yesu Kristo, Mwokozi wa Ulimwengu
 
Kuna duka nilienda pia kulikua na paka, ilibaki kidogo nimkanyage.
Mwenye duka akanitqhadharisha ati kua makini paka ni wakali ukiwakanyaga anaweza hata kukuua.

Nikashangaa sana yaani paka aniuwe 007, agent makini wa Taifa, paka kabisa.
Akadai eti ukimpiga na kummwagia maji, anakuruki na kukurarua uso mpaka unakufa.

Wabongo wanapeana woga kipuuzi kabisa, labda uwe mdebwedo ndo paka anakuua.
Je, unaufahamu ugonwa uitwao CSD? i.e. Cat Scratch Disease.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom