Paka wanaokuwepo madukani ni paka kweli

Paka wanaokuwepo madukani ni paka kweli

Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?

Maana kuna mmiliki wa duka fulani aliangusha kilio kama kafiwa mara baada ya paka wake kutoka dukani kwa bahati mbaya na kuchukuliwa nawapita njia, alitangaza dau nono kwa yeyote atakae muona na kumrejesha kwake.
Wengi wanawafugia dukani ili kudhibiti panya wanaoharibu bidhaa mbalimbali,,,wachache ndo huwatumia kwa mambo ya kiimani
 
Nakazia hoja: Halafu tukizingatia kwamba maduka mengi kimpangilio yapo kama foleni fulani hv. na paka huzaliana na anaweza paka akazalia kwako au vitoto vikiwa weaned vinajitafutia makao na huenda vikahamia hapo esp. kama havipigwi au kufukuzwa na vinapata chakula(Mabaki).
 
Asante!! Wabongo tuna Imani potofu xn
 
Paka akikuparua, japo kidogo tu unaweza kuupata huo ugonjwa na ikawa ndo mwanzo wa matatizo ya kiafya. (Hebu Google utauelewa zaidi). Kwa mantiki hiyo; mwenye duka lenye paka akikupa tahadhari anafanya vyema - ni kwa faida yako.
Yeye hakumaanisha kukuua kwa ugonjwa, bali kukuua kwa mapigo yake yaani kama chui au simba mwituni.

Kwa mimi huo ugonjwa hauniui labda ww.
 
Ni paka wa kawaida ila wengine katika harakati za kimaisha anakuwa amepewa paka/kiumbe wa tambiko kwa ajili ya kulinda/kukuza biashara yake kiimani.
 
Mzee Gullam ana paka kama 50 hivi pale ofisini kwake maeneo ya banda la ngozi na ole wako umpige paka ndio utakuwa mwisho wako wa kazi
 
Maduka mengi yamekuwa na paka anae cheza cheza mule dukani, sasa najiuliza uwepo wake ni kwasababu ya kupambana Kuua panya wanaoharibu bidhaa dukani au wanakazi nyingine?

Maana kuna mmiliki wa duka fulani aliangusha kilio kama kafiwa mara baada ya paka wake kutoka dukani kwa bahati mbaya na kuchukuliwa nawapita njia, alitangaza dau nono kwa yeyote atakae muona na kumrejesha kwake.
Kuwa uyaone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom