Siyo hivyo ndugu, ndio maana nimesema jaribu kwanza kuielewa uncertainty principle vizuri (Siyo rahisi kihivyo!) kwa maana ndiyo kiini cha Quantum Physics, maana ya Quantum physics yote imelala hapo!
Double slit expt haikwambii kwamba Particle moja inapita matundu yote mawili hapana na wala sio lengo lake hilo, DS exprt inajaribu kuelezea limit ya Classical physics ktk kuelezea natural phenomenon, nimeshajaribu kuelezea kwamba kwenye C.Physics kwa kutumia DS expt unaweza kujua kutokana na pattern unataiyoipata mwanga umepitia tundu gani a ama b lkn Q Physics hauwezi kujua electron ama particle imepitia tundu gani sasa hiyo ni simplification tu, lkn unabidi kwanza uangalie mambo ya particle diffraction yaani huygens principle ni lazima pia uielewe ili uweze pia kuelewa Double Slit expt na matokeo yake!
Bila ya hivyo Mtajaza hapa kurasa kwa maana kwa maoni yangu mimi hii topic kuilewa ni lazima kwanza basic principals za QM zieleweke kama hiyo Double Slit expt na kuelewa hiyo expt ni lazima pia Optics ieleweke vitu kama Huygens principle ambayo inaelezea Diffraction phenomenon n.k Siyo kazi rahisi sana!
Kitu hiki hapa mkuu.
Relational interpretation
According to the relational interpretation of quantum
mechanics , first proposed by Carlo Rovelli ,
observations such as those in the double-slit experiment
result specifically from the interaction between the
observer (measuring device) and the object being
observed (physically interacted with), not any absolute
property possessed by the object. In the case of an
electron, if it is initially "observed" at a particular slit,
then the observerparticle (photonelectron) interaction
includes information about the electron's position. This
partially constrains the particle's eventual location at the
screen. If it is "observed" (measured with a photon) not
at a particular slit but rather at the screen, then there is
no "which path" information as part of the interaction, so
the electron's "observed" position on the screen is
determined strictly by its probability function. This
makes the resulting pattern on the screen the same as if
each individual electron had passed through both slits. It
has also been suggested that space and distance
themselves are relational, and that an electron can
appear to be in "two places at once"for example, at
both slitsbecause its spatial relations to particular
points on the screen remain identical from both slit
locations.