Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,095
- 14,814
Nilitakanipite kimya kimya ila ngoja niseme.
Nimesoma hii thread mara 3. Nilivyoona sielewi, nikabadili staili ya kusoma, yaani kuanzia mara ya nne hadi ya sita nikawa nasoma kwa sauti kabisa kama darasa la pili tena neno kwa neno lakini nimetoka mweupe kabisa.
Ila mkuu Mgalanjuka nakusubiri kwenye mada zako nyingine zinazohusu vitu vinavyoonekana kama nyota, vimondo, sayari nk.
Hizi atom sijui proton wacha nipite tu.