Paka sharobaro

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...
 
hahahahahaaaaa!!
1. Paka huyo kashiba, ana uhakika wa kunywa maziwa na kula nyama zilizopikwa
2. Panya nae kiumbe cha mungu, atakuwa kasali sala zote hadi Mungu kasikia na kumpofusha paka amwone huyo panya kama paka mwenzie.
 
Kha unamshangaa, alikua ana kujichafua men.
 
Nachojua mimi kazi yapaka ni kukamata panya, sasa leo kunapaka hapa home panya kampitia miguuni kabisa, paka kamuangalia kwa dharau afu kampotezea, sijui alihisi akimfukuzia atasweat...
<br />
<br />
Mkuu bila shaka una utani na Baba Riz1?
 
panya kajifukizia marashi ya lnvisible
<br />
<br />

Umenichekesha kweli hapa Bujibuji ati kajifukizia marashi ya Invisible tehtehtehtehtehtehteheteh
 
hahahah...khe khe khe he hehe!
Huyo paka waukweli sana
 
itakua amelewa akadhani ni paka mwenzake.................
 
Nadhani huyo panya atakuwa ni mjomba wake Jerry, na huyo paka anaundugu na Tom, halafu alipewa story na Tom kwa kichapo anachopewa na uncle Jerry!
 
ooh senks u made my dy, hapa mbavu zinaniuma na kufuta machoz, huyo paka tozi sana
 
dawa yake huyo ni kunyimwa chakula swiki nzima utaona atakua anawakamata tu
 
Dahhh
Bora huyo wako
Kuna paka mwingine akimwona
Panya anakimbia instead ya kumkimbiza ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…