Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
asante mkuuKUKU ZA UCHUMI ndiyo kuku za aina gani hizo? Mie sijasisikia ati.
Wakwetu huku ni njaa kali utakuta wamemaliza samaki wote,wenzetu wanafuga kwa mpango na malengo sisi huku ili mradi tu kuna paka ndani basikuna haja ya kuwa train wengi harafu wasaidie kukuza uchumiView attachment 12357
hapa nahisi hata viongozi wa serikali wamewaiga hawa siyo?Wakwetu huku ni njaa kali utakuta wamemaliza samaki wote,wenzetu wanafuga kwa mpango na malengo sisi huku ili mradi tu kuna paka ndani basi
Saaaaaaaana!!!!!!!Tena viongozi wetu ni kama mapaka shume ambayo hata mboga yanafunua mfuniko na kula kilichomohapa nahisi hata viongozi wa serikali wamewaiga hawa siyo?
Saaaaaaaana!!!!!!!Tena viongozi wetu ni kama mapaka shume ambayo hata mboga yanafunua mfuniko na kula kilichomo
asante mkuu
kiibodi yangu ina matege kidogo lakini sidhani kama na ya kwako iko salama, maana hapo kwenye red
kidogo pamenizingua sana sijajua panaeleza kitu gani, hata hivyo siyo mbaya, kwangu nimerekebisha
Duh hii kali! Yaani hata kama sufuria ya moto vipi yanafunua tena bia ya kuungua!!!