Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,328
- 144,770
Hahaha! Siyaamini maneno yako bana, ngoja ntamuuliza nanihii!
Nanihii ndo nani huyo?
Hahaha! Siyaamini maneno yako bana, ngoja ntamuuliza nanihii!
Nanihii ndo nani huyo?
Heee! Unaendelea kusisitiza?...lol
Uwiii nafwaaaaa! Akakiri kwa kinywa chake kabisa??? Asante kwa kunipa tahadhari wifi angu!Wi hujambo wewe. Usipendekula mishikaki wakati mwengine unawezakuta ya paka. Kuna jamaa mmoja alihojiwa kwenye kipindi cha clouds kazi ni kazi anatengeneza mishkaki ya paka hata 3 na wanaisha kwa sekunde
Mrs Bwa'Nchuchu!
Vichekesho sio kidogo trach, haya barua yetu imeishia wapi?Mh... Hivyo ni vichekesho...
Tofauti ni ipi?
Ahsante ila mwambie mie ntakuja kula spaghetti only, paka hapana!...lol.Daaah...umenichekesha kweli! Eti Mrs Bwa'Nchuchu...ahahahahaaaa. Umedata kweli wewe.
Eniwei, kasema wikendi hii atakorofisha paka meatballs na spaghetti....unakaribishwa.
Kwanza paka ana tabia za kula vyakula km binadamu...so hana yofauti na mtu...ng'ombe anakula nyasi
Teh we utakuwa ulisoma shule ya kipekeeLet's see....
Ng'ombe ana miguu minne so does paka
Ng'ombe ana mkia so does paka
Ng'ombe ana macho so does paka
Ng'ombe ana damu nyekundu so does paka
Binadamu naye anakula majani so does ng'ombe
Binadamu, paka, na ng'ombe wote ni mamalia
Niendelee.....?
Ngachoka! Kwani lazima ule paka?
Kwanza kumla paka huoni kinyaaaa???
Disgusting, I wish ngesoma hii post baada ya kula, yani nimeshaharibu appetite yote
Asante mpenzi, unajua mi hata sungura sina guts kumla, nayeye namuona km pakaPole sana mpenzi!
watu tunakula vyura ,nyoka na konokono ndo ije kuwa nyau . Tembea uone.