"Paka mtamu asikuambie mtu mjomba"

"Paka mtamu asikuambie mtu mjomba"

Ni kweli...tumeambiwa tuvitawale viumbe ila si kwa kiwango hicho...mtu wa hivyo anaweza mfanyia hata binadamu mwenzie.
Ni kweli asee, wacha mie nikae mbali na bucho manake hana utani na chochote lol...
 
Pale kwa Mromboo wanachoma paka?
Sijui, sijawahi kwenda kula nyama huko manake nilisikia wanachoma mbuzi na kondoo na mimi sili mbuzi wala kondoo, hapajawahi kunivutia kwenda! Unapenda paka weye?
 
Sijui, sijawahi kwenda kula nyama huko manake nilisikia wanachoma mbuzi na kondoo na mimi sili mbuzi wala kondoo, hapajawahi kunivutia kwenda! Unapenda paka weye?

Oooh yeah...napenda sana paka chops...tena zile zilizokuwa stuffed na wild rice halafu unazi broil kwenye oven
 
ndio wengi tu wanakula sungura
mie ananishinda maana namfananishaga na paka

sasa kama paka naye analiwa, si bora nile sungura.
Kuna watu wanakula sungura kongosho, ila paka sijawahi sikia toka nizaliwe!
 
Disgusting, I wish ngesoma hii post baada ya kula, yani nimeshaharibu appetite yote
 
Disgusting, I wish ngesoma hii post baada ya kula, yani nimeshaharibu appetite yote

Hakuna kinyaa chochote hapo.

Ni jinsi tu ulivyoiweka akili yako. Kuna watu hapa duniani wanaona kinyaa kula nyama yoyote ile. Pia kuna ambao wanaona kinyaa kula ng'ombe.

Paka mtamu kweli.
 
Hakuna kinyaa chochote hapo.

Ni jinsi tu ulivyoiweka akili yako. Kuna watu hapa duniani wanaona kinyaa kula nyama yoyote ile. Pia kuna ambao wanaona kinyaa kula ng'ombe.

Paka mtamu kweli.
Heee! Unaendelea kusisitiza?...lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom