Mara nyingi wachawi wanapokuja KWAKO Huwa wanacha mwili NAFSI Yao inaingia kwa PAKA,wanapenda zaidi kutumia MNYAMA PAKA,kwa sababu ulizozitaja ikiwemo uwezo WA MNYAMA PAKA kiroho na kimwili,NA USIRI wachawi wanapenda wafanye mambo Yao bila kufahamika mfano PAKA anatembea KWA cutwalk silent, ananyata,ukaribu urafiki ULIOPO kati ya PAKA na binadamu,hivyo so rahisi MTU kushtukia kuwa huyu PAKA ni mchawi atajua ni just normal PAKA as kawaida TU...na uwezo WA paka kuona usiku,na kuona vya Rohoni na kusikia na kuhisi hatari senses.
Rangi ya PAKA inawakilisha cheo au nguvu ya mchawi husika aliye ji-disgusted as a PAKA,PAKA MWEUSI ni hatari highly dangerous mchawi hatari mwenye power kubwa kuliko PAKA mweupe.
PAKA SHUME inaweza ikawa ni JINI KABISA kimejigeuza PAKA,macho ya PAKA ya ajabu kikubwa kama(nimewahi kutana na hili nafikiri lilikuwa JINI)
PAKA WA kichawi ata BEHAVE STRANGELY AWKWARDLY sio kama tabia za paka WA kawaidA
Anaweza akawa anaota milio ya ajabu kama mtoto kama MTU au kicheko au akazingumza kabisa.
HAOGOPI watu,anaweza akawa anaku STARE AT YOU anakushangaa bila kuondoka bila kuogoapa muda MREFU,n.k
NINI CHA KUFANYA
Kwanza kabisa ukikutana nalo hilo PAKA SHUME kama nililokutana nalo,linakutazama uso KWA uso huku limesimamisha manyoya linaunguruma na kuyatoa macho usiku yanawaka kama taa.
Na Mimi NYWELE na vinyweleo vyote vya mwili vikanisimama
Kwanza USIOGOPE ,USIGEUKE NYUMA usikimbie.
Likiona hujaogopa litaondoka au litapotea.
Mapaka yanayolia kama watoto wachanga dirishani KWAKO,au yanatembea juu ya Dari paa la nyumba Yako.
USIOGOPE kitu Cha kwanza USIOGOPE
LENGO LA kufanya hayo makelele kulia kama watoto kutembea juu ya Dari,au kurusha mchanga darinj,hayo yote ni ili WEWE UOGOPE.
Kwa sababu ukiogopa TU ,umeyafungulia mlango umeruhusu yakuingie kiroho au yakushambulie kiroho.
SALI OMBA YAKEMEE KWA JINA LA YESU
ama chukua fimbo au jiwe piga,ukilipiga kesho utasikia kuna mchawi anaumwa au kafa KWA sababu ukipiga PAKA na jiwe kumbe umepiga mchawi.
Elimu ya FALAKI elimu ya uchawi ,inasema JINI haruhusiwi kumuingia mwanadamu YEYOTE ,mpaka mwanadamu mwenyewe afungue mlango WA KURUHUSU JINI amuingie,
WOGA kuwaogopa wachawi na majini ni kuwapa nguvu na kuwafungilia mlango wakushambulie na kukudhuri.
Ndio mana biblia imeandikwa NENO USIOGOPE mara 366 SAWA na siku zote zilizopo katika mwaka ,ili KILA SIKU uishi bila WOGA WOWOTE.
Na Roho ya WOGA HAITOKI KWA MUNGU ni ROHO inayoletwa na majini/wachawi.
2 Timotheo 1:7:
"Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu, na ya upendo, na ya moyo wa kiasi.