HahahahahhahahUnajilengesha kwa Bishanga eeeh
Shauri yako atakufumua na siku hizi kafulia hata ya kukurecover hana
Copy kwa The secretary Arushaone
Aaaah wapi Bishanga kiboko yake ni The secretary, pale hafurukuti alilofanya leo kesho lazima aombe radhiBishanga hana tatizo
tatizo nyie tu,
mi mzima, ulipotelea wapi? miss u sana
Unajilengesha kwa Bishanga eeeh
Shauri yako atakufumua na siku hizi kafulia hata ya kukurecover hana
Copy kwa The secretary Arushaone
Bado namsubiri The secretary na Mrs Bishanga
Aaaah wapi Bishanga kiboko yake ni The secretary, pale hafurukuti alilofanya leo kesho lazima aombe radhi
marahaba mdogo wangu, I mith yuuuuuuuuuuuu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuSis i mith youuuuuuuuuuuuuuuu, shkamo dada
Mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahmarahaba mdogo wangu, I mith yuuuuuuuuuuuu tuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ngoja EID iishe
Darling The secretary hivi nani ali hack account yangu, hivi bishanga kweli anaweza kufungua thread kama hii? Ngoja nikachukue arabii